Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali.

Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za kutoka damu mwilini.

Screenshot_20230514-150558.jpg

Uganda wamekwisha longa, Ummy anasubiri hadi Marburg iishe? Au anasubiri hadi mbaya yupi afe?
 
Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali.

Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za kutoka damu mwilini.

View attachment 2621580

Uganda wamekwisha longa, Ummy anasubiri hadi Marburg iishe? Au anasubiri hadi mbaya yupi afe?
NIMEKUVULIA KOFIA TAGU LEO! UMEMALIZA UBISHI!
 
Nimeona Waziri wa Afya Ummy anasema wanakusanya taarifa na kuzichakata toka vituo mbalimbali vya afya ndio waje na majibu ya changamoto mpya ya kupumua tuliyonayo, chanzo chake nini..
 
Data wanakusanya baada ya makelele mitandaoni? Maofisini wanafanya nini?

Bila kupoteza muda mwendo huu ni muhimu sana kwa sasa:

IMG-20230514-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom