0036 savage
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 189
- 238
Juzi juzi nimeona kwenye taarifa serikali kupitia mkuu wa mkoa wakibomoa madanguro na kujisifu ili kukuza uchumi watu waache kazi hizo,Ila serikali hiyohiyo inashindwa kusimamia watumishi wake ambao ni vivuli kabisa yani nafasi inamtu ila huyo mtu azalishi chochote anaenda kazini kutembea na kurudi,kazi zote zinafanywa na vibarua lakini mapesa na stahiki zote analipwa huyu asiejua kazi wala afanyi kazi.na hii atuongelei kiongozi au msimamizi hapana ni mtumishi mdogo asie na elimu hata hao vibarua wamemshinda sifa katika makaratasi tunayoita vyeti.
Kuna wagonjwa alf kuna wazee waliodanganya umri awajasitafu ila awana uwezo wa kufanya kazi,mngedili na hawa watumishi vivuli ningewaona wa maana sana au angalau mngetuonesha uchungu wenu kwa kuwaondoa hawa kwanza....