Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali
1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8
2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8
3. Wakurugenzi wa halmashauri V8
4. Hospital za mkoa na wilaya V8
5. Wakuu wa wilaya V8
6. Wakuu wa mikoa V8
Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya maziwa wana V8
Hapo bado sijaweka wabunge na mawaziri, wakuuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, RAS, DAS
Hizo V8 zote zinatembea full AC na hazizimwi muda wote wa safari
Last week nilipata lift ya V8 moja ya serikali kutoka Dodoma tu DSM bosi alipanda ndege dereva akawa mwenyewe. Tumesimama Morogoro mnyama anapumua tu.
Mama na mimi nikumbuke kwenye uteuzi