Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mbona miradi imeanza kwenda kwa kasi sn Kigoma?At least mikopo ya sasa inawekwa wazi
Mkopo benki ya misri nMbna mradi wa JNHPP unatosha sana au ni upigaji huu
Hata chato ilikuwa hivyoMbona miradi imeanza kwenda kwa kasi sn Kigoma?
Umeondoka na aliyeutunga!Ule wimbo wa nchi tajiri umefia wapi?
Prof Assad alisema tunakopa World Bank tunanunua ndege cash, '"mtu mjinga ndiye ananunua ndege cash"Mikopo ya zamani ilikuwa inaitwa ni fedha za ndani!Yule punguani alikuwa takataka kabisa!
Hii mikopo tunaambiwa wakati wa kukopa tu wakati wa kulipa au hata kupunguza deni hatuambiwiSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 ( tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma
Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba na Mkurugenzi Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa AFDB Nnenna Nwabufo
Mwanzo tulikua hatukopi ni Fedhwa zetu walipakodi sisi matajiliAt least mikopo ya sasa inawekwa wazi
Honestly hapo panafikirisha!!Mahitaji ya umeme nchi nzima bwawa la nyerere kukamilika tunabakiwa na ziada tutauza kwa majirani
Malagarasi ya nini Tena?ikiwa nyerere dam haijakamilika?tukamilishe rufiji ikiwa hautishi tutatafakari muda ukifika hiyo peas ya mikopo........
Mahitaji ya nyakati... Hizi sio pepo za kusi tenaMbona miradi imeanza kwenda kwa kasi sn Kigoma?