Hapo sasa, tunaambiwa mradi wa SG utazalisha 2,115mg, yaani tutakuwa na ziada ya umeme maradufu. Sasa hii mikopo ya umeme mwingine ni ili iweje? Utapeli mwingine bana ni hatari kabisa.Kwani huu wa Rufiji hautoshi?
Mimi mwenyewe nilijua huu unatosha. Na walituaminisha kwamba unaweza kuzalisha umeme wa ndani mpaka tukauza njeMbna mradi wa JNHPP unatosha sana au ni upigaji huu
Sahau kuhusu hilo. Mnadungwa sindano pole pole. Mtakuja kushtuka imeisha ingia yote.Binafsi naona gavamenti inajipa mzigo kwa kuwa na miradi mingi, kwanini tusingeongeza nguvu pale stigilaji goji na kulikamilisha kwa ubora mzuri, na tuliambiwa tutakuwa na saplasi ya umeme ambao tutauuza pia.Ndiyo maana miradi yote huwa inaishia hewani tu haikamiliki hata ikikamilika inakuwa chini ya kiwango
Maana una uwezo zaidi ya vyanzo vyote vilivyopo kwa sasa na ziada ya kuuza nje ya nchi, sasa kukopa kwa miradi mingine ili iweje sasa..Kwani huu wa Rufiji hautoshi?
Kwani stiglus hautotosheleza??At least mikopo ya sasa inawekwa wazi
SawasawàSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma.
Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba na Mkurugenzi Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa AFDB Nnenna Nwabufo.
Tumepigwa na tumepigwa tena!Kwani stiglus hautotosheleza??
Mwingine tutauza bro,usihofiMbna mradi wa JNHPP unatosha sana au ni upigaji huu
Uombe na kujulishwa retirement ya mkopo huo. Yaani matumizi yake.Nafuu sasa tunajulishwa mwendazake alikopa akadanganya fedha za ndani
Tunakuwa na mipango mingi sana ya kuendeleza umeme nchini lakini hatuoni umuhimu wa kuwa na mradi mmoja tu kuweza kufanya hivyo. JNHEP ukikamilika utawezesha kuwa na umeme wa ziada. Sasa fedha hii badala ya kutumika kukamilisha mradi huo, tunaanzisha mradi mpya kabisa.Mahitaji ya umeme nchi nzima bwawa la nyerere kukamilika tunabakiwa na ziada tutauza kwa majirani
Malagarasi ya nini Tena?ikiwa nyerere dam haijakamilika?tukamilishe rufiji ikiwa hautishi tutatafakari muda ukifika hiyo peas ya mikopo........