Sasa serikali yetu imekubali kuwa mazungumzo ndiyo njia bora zaidi. Ila wajitayarishe vizuri na kusoma umakini wa ujumbe unaokuja:
TOKA MAKTABA :
Malawi inazidi kutenda sera zake za kujitegemea kwa vitendo chanya vya Malawi Kwanza :
17 April 2025
Lilongwe.
UZINDUZI WA KIWANDA, WAZIRI MUMBA ASISITIZA UWEKEZAJI KTK VIWANDA NA KILIMO, KAMWE HATUTAPIGA MAGOTI KWA MBINYO KUTOKA MATAIFA YA KIGENI
View: https://m.youtube.com/watch?v=jR-HY7UhlM8
Hii ni ajenda mojawapo anayoibeba waziri Vitumbiko Mumba nchi lazima iwe na viwanda badala ya kuagiza kila kitu kutoka nje ya nchi....
Mbali na wale wanaobeza muelekeo huu wa kuifanya Malawi nchi ya viwanda, tunaona moja ya kampuni kubwa duniani ikiwekeza, pia Bakhresa Group of Companies nayo kampuni kubwa kikanda inafungua kiwanda cha mafuta ya kula hapa Malawi kuunga mkono kwa vitendo ajenda ya kutengeneza ajira ... asema waziri Vitumbiko Mumba
Hii ni ajenda ya kuondokana na sera zilizopita za kuagiza kila kitu kutoka nje, na Malawi haiwezi kugeuzwa kuwa ghala au soko kubwa la wachuuzi wa bidhaa kutoka ngambo wakati nchi yetu ina sera nzuri viwanda vikubwa, vya kati na vidogo
Juzi niliitwa niende ili nitepete chini ya mbinyo wa nchi jirani kitu ambacho nilikataa mbinyo huo, Malawi itasimania sera ya kujitegemea bila kutishwa na majirani ... asisitiza waziri Vitumbiko Mumba
Bakhresa Malawi Limited’s $100 million (about K175.1billion) cooking oil refinery plant, which faced foreign exchange challenges, is projected to be completed in October this year
Waziri engineer Vitumbiko Mumba a.k.a Magufuli kama anavyojulikana, anapendwa sana na wananchi wanyonge wa Malawi kwa kusukuma ajenda ya Malawi Kwanza, Vya Kigeni Baadaye
View: https://m.youtube.com/watch?v=AZUOapVuf50