Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi

Kwani Malawi wao wameondoa zuio
 
Huyu Ndunguru ana inaonekana ana akili zaidi ya Waziri wake
 
Mleta uzi ni zuzu maelezo mengi yasiyo na msingi
 
Nilisema BASHE ni mkurupukaji
 
Tatizo hasa lilikuwa nini hadi kuchukua uamuzi huu? Kwanini Malawi na SA walizuia mazao kutoka Tz?
Ndio mojawetu alikuwa hataki kusema, Bali kusema ya kwake. Matokeo yake ndio haya. Kwa kweli huko kwenye maendeleo tutakuwa tunapazunguka Badala ya kufika.
 
Zuio anaweka waziri, ondoleo anatoa mkurugenzi, sijaelewa. Anyways cha msingi limeondoka
Waziri inaonekana hajui kazi yake , na ndio mshauri au msaidizi wa Raisi, matokeo yake ndio huyo Mkurugenzi ana kuja kuokoa jahazi la watu wasio faa, kama ana akili anatakiwa kuwajibika
 
Waziri inaonekana hajui kazi yake , na ndio mshauri au msaidizi wa Raisi, matokeo yake ndio huyo Mkurugenzi ana kuja kuokoa jahazi la watu wasio faa, kama ana akili anatakiwa kuwajibika
Hajui kazi yake kwani bila hilo zuio la bashe Malawi ingekubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo?
 
Hajui kazi yake kwani bila hilo zuio la bashe Malawi ingekubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo?
Biashara za kimataifa unatakiwa kufuata taratibu zake. Sio vikao. Nipe sababu za Malawi au SA kuzuia mazao yetu , halafu uangalie taratibu zina semaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…