Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi


Your browser is not able to display this video.
 
Bashe na kanzu yake alichemsha?
 
Biashara za kimataifa unatakiwa kufuata taratibu zake. Sio vikao. Nipe sababu za Malawi au SA kuzuia mazao yetu , halafu uangalie taratibu zina semaje
Suala la sababu hilo sisi halituhusu tunacho jua ni nchi hizo zilikataza mazao yetu kuingia kwenye nchi zao na Tz tukajibu.
Na kujibu kwetu kumeleta matokeo ndo maana wamekubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo baada ya kugundua kuwa watapoteza pakubwa.
 
Sheria zipo ili zivunjwe pale Palestina wiki ya ngapi msosi imepigwa pini
 
Nashukuru kwa ujuzi wako
 
Msomali ana mihemko tatizo unaenda kuzuia trade ambayo wewe una benefit na transit kwa ajili ya ndizi mzuzu kadhaa ambazo hazi add value hata kwenye export trade yako akili zakijinga kabisa
 
Tangazo wamelitoa usiku wa manane --- siasa hizi watu wamekula loss kwenye matunda
 
Nilimshangaa uyu waziri, yani unaamuka na kanzu na kutoa tamko ambalo unakuja kuliondoa ndani ya kabla ya masaa 72. Kumbe kuna njia Mbadala sasa kulikua na ulazima gani katika hili
 
Mleta uzi ni zuzu maelezo mengi yasiyo na msingi
Mleta Uzi au aliyeendaa hiyo taarifa kama ni mleta Uzi basi Mimi ni zuzu kweli kweli, kama ni aliyetoa taarifa serikali ni mazuzu kweli kweli
 
Mleta Uzi au aliyeendaa hiyo taarifa kama ni mleta Uzi basi Mimi ni zuzu kweli kweli, kama ni aliyetoa taarifa serikali ni mazuzu kweli kweli
Hapa wapo hata watu wa serikali hivyo ingewezekana yote kuwa sahihi kama sivyo basi huyo mtoa yaarifq maana anaonekana kama qnajitetea kinafiki baada ya kushindwa jambo...ndiyo maana maelezo yamekuwa mengi kuliko msingi watatizo na uhitaji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…