Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi

Uamuzi unaohusu nchi na nchi unapaswa ufanyike Kwa umakini bila jazba na baada ya kujadiliwa vya kutosha !!! ...
 
Mnaweza kulete TAMKO la Serikali ya Malawi na South Africa ili tuone walivyoji-commit?
Isije kuwa hizi ni zile zile drama anazosema SASHA!
 
Pamoja na kuonyesha kuwa ana uzalendo, kanzi ilikuwa ndefu kwake kwa masuala haya ya kidiplomasia.
Waziri mkuu wawkumbushe kumbushe mawaziri wake ukomo wa madaraka yao.
Kuna kitu huwa nakiona ndani ya Bashe hasa baada ya kupata uwaziri. Mara nyingi hupenda kujionyesha mwenye ujuzi, mzalendo na weledi kuliko wengine wote. Na mara kadhaa hapendi ushauri au kuambiwa makosa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…