Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.
Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa Malawi [emoji1156] waliokumbwa na Kimbunga kilichosababisha maafa.
Tanzania inarejea enzi za Mwalimu Nyerere ilipokuwa mstari wa mbele kulikomboa Bara la Afrika.
Pia, soma: Zawadi, Misaada na Michango Iliyotolewa na Rais Samia kwa Watu na Taasisi Mbalimbali Tangu Alipoingia Madarakani