Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado, hiyo ni mwanzo tu, subiri Jumatatu kuna hatua kali zingine zitafuata.HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Beberuu anahusikajee tenaaa jamaniNikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?