Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
 
Wewe unaonaje? Wao kupiga marufuku sisi kwenda kwao ni sawa? Jino kwa jino! Diplomasia ya kinafiki haina nafasi. Wakitimua raia wa Tz tunatimua wao.
 
Bado, hiyo ni mwanzo tu, subiri Jumatatu kuna hatua kali zingine zitafuata.
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
 
Wewe unaonaje? Wao kupiga sisi kwenda kwao ni sawa? Jino kwa jino! Diplomasia ya kinafiki haina nafasi. Wakitimua raia wa Tz tunatimua wao.
Ndio tunakoenda mkuu! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe[emoji29][emoji29][emoji29] mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
 
Ndo tunakoenda mkuu...!! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe[emoji29][emoji29][emoji29] mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Hakuna ndege yoyote inayomilikiwa na Kenya iitakayoruhusiwa kuingia Tanzania, Precision air ni kampuni la Kitanzania, wakenya wamenunua hisa tu, lakini accounts zote na HQ ipo Tanzania.
 
Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…