Huyu mchora vibonzo wa kikenya naye ana misukule yake kama wewe ambao pia hatujui uraia wenu ni wa nchi gani.Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1523461
Brother,hawa viongozi wetu huku Tanzania hawana jibu la Covid-19!Sasa walizuia raia wa tz kutoenda kenya kwa ndege kwa misingi ipi???
Nakwambia ukweli wewe hujui nia ya hawa jamaa vyema.na sijui kwanini una hasira namna hii???
Haitakaa itokee,halafu hizi mambo za kutabiri mabaya ndipo tunaposhindwa kuwaelewa wakereketwa wa awamu hii.Wao kuja Bongo sio issue,tatizo ni sisi Watalii na mizigo yetu ambayo 90% inapita JKIA!
Wao kuja Bongo is nonsense here mzee!
Halafu naona mnaiona Kenya tu hapa,kuna nchi naziona zitatoa ban kama aliyotoa Kenya,until then uje hapa na majibu!
Goodluck with that!
Ok so nkuulize kwa uwanda wako unaokuzunguka je unazan Covid ipo kea ukubwa kama ule ulioanza au imepungua. Je unawajua watu wangapi hapo wanaoumwaSometimes tumia akili wewe...
Kuna kitu kinaitwa Chademo?
Nimezungumzia China popote kwenye posts zangu?
China inapambana na hali yake,na second wave is on full effect!
Forget about linchi la hovyo kama China linaloendeshwa na vichaa wa CCP....
Hoja ipo pale pale...
Tanzania hatujaweza jibu hoja ya Covid-19 kwenye hizi nchi za dunia....Tumebaki kufanya vituko kama Madagascar
Kaanza Kenya,ombeni miungu wenu wasifatie wengine....
Maana,they are coming,just wait and see...
Oooh Kenya this,Kenya that....blah blah..
Si heri ingekua Kenya tu ndio ya kuhofia,kuna msusuru wa nchi za kuhofia hapa,na omba sana wasianze domino effect..
Shida ni upumbavu wa hawa majamaa waliofanya na covid-19,sasa hivi hawana majibu wala evidences kwamba hakuna covid-19 TZ,wameishia kupaniki,sasa subiri msururu wa wengine....wait...
Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Unanambia nitumie akili wakati wewe hutumii unanakili kweli ? Labda kama hujui nini unachozungumza nikukumbushe: unasema kosa letu sababu hatujatoa majibu ya kisayansi kama hatuna korona tunasema tu TZ hamna Corona ndio nikakwambia niletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa iwe ya Jana au juzi ilete kama ipo lakini kumbuka Kenya imeirihusu China tena ndio nchi ya Kwanza wamejuaje kama hakuna korona china na takwimu hamna ? Ndio maana nikakwambia Kwa kifupi nakuomba niletee takwimu ya china. Uwe na upeo wa kupambanua mambo Kenya inasingizia Corona ila ina chuki na TZ kwasababu ya mafanikio yake kuanzia kwenye Corona mpaka uchumi kwahiyo kenya ina Ile Sera za chuki ,kwanini kama ilivyo marekanSometimes tumia akili wewe...
Kuna kitu kinaitwa Chademo?
Nimezungumzia China popote kwenye posts zangu?
China inapambana na hali yake,na second wave is on full effect!
Forget about linchi la hovyo kama China linaloendeshwa na vichaa wa CCP....
Hoja ipo pale pale...
Tanzania hatujaweza jibu hoja ya Covid-19 kwenye hizi nchi za dunia....Tumebaki kufanya vituko kama Madagascar
Kaanza Kenya,ombeni miungu wenu wasifatie wengine....
Maana,they are coming,just wait and see...
Oooh Kenya this,Kenya that....blah blah..
Si heri ingekua Kenya tu ndio ya kuhofia,kuna msusuru wa nchi za kuhofia hapa,na omba sana wasianze domino effect..
Shida ni upumbavu wa hawa majamaa waliofanya na covid-19,sasa hivi hawana majibu wala evidences kwamba hakuna covid-19 TZ,wameishia kupaniki,sasa subiri msururu wa wengine....wait...
Kama umekubali kuwa msomaji wa mchezo kaa sehemu usubiri majibu.ndio utajua nani anafikiri kwa nguvu kabla ya kuamua.Brother,hawa viongozi wetu huku Tanzania hawana jibu la Covid-19!
Si heri hata ingekua Kenya pekee yake,maana inaweza kushikika,tatizo ni nchi zingine!
Tutatoa matamko mpaka midomo ichanike,shida ni covid-19 majibu yake mnayo?Hawana!
Now,hizi nchi hazina mchezo,zitafuata what kenya did!
Hapo utakuja hapa na majibu,nitacheka sana nikiona post yako!
Mtumwa wa fikra ni wewe unaelazimika kutetea maamuzi ya kipumbavu yaliyotolewa na washika ofisi wetu hapa eti sababu tu wewe ni Mtanzania!Wewe jamaa ni mtumwa wa fikra. Inaonesha unaamini sana katika kutegemea wengine. Simama fanya maamuzi yako na uyasimamie kwa kujiamini, no matter nani or wapi wanasema nini. Tanzania wameamua kufuata njia yao kupambana na Corona, na hawatabadilika kwa lolote. Wafunge mipaka, wafungue no body gives a damn!! Hii ndio njia yetu tuliyoamua kama Wakenya walivyoamua kufuata njia ya wazungu ambayo inabacklash everywhere! TUTAELEWANA TU ( In Dk. Shika voice)
Hao Marekani wao wenyewe Corona imeshawashinda, wanachofanya now ni kuandamana bila sababu za msingi. Sasa wanaandamana hawataki kuvaa masks. Kifupi hamna njia yeyote ya kupambana na Corona iliyofanya kazi hadi muda huu, ni kubahatisha tu. And vile vile Corona ni mafua tu kama mafua mengine, ila sababu binadamu wa sasa kafikia maximum level ya stupidity ambayo imeletwa na maendeleo batili ya teknolojia ndio maana eti watu wanajifungia ndani kuogopa coronaa!!!!!! Ni upumbavu na ulofa iliopita viwango vyote vya upumbavu na ulofa, na hii inaapply kwa binadamu wote waliojifungia ndani kuogopa coronaWewe ndio unashindwa kuelewa hapa...
Mimi sipendi serikali ya aina yoyote to begin with..
Mimi kama capitalist serikali ya aina yoyote always ni part of the problem on anything and never a solution..
That aside...
Tunarudi hoja waliyotoa Wakenya.....
Tanzania haijafanya kazi sawasawa ya kupambana na covid-19,ni kazi ya hawa viazi kuijibu hiyo hoja kwa evidences
Majibu hawana maana wanajua upumbavu waliotufanyia wa issue ya covid-19
Hapa tatizo wala sio Kenya,maana kama ni Kenya tu then we can handle them bila tatizo sana,shida ni mataifa mengine yaki-follow suit ya kutupiga ban sababu tumebeba virus!
I see SA watafuata maana hawana utani na covid maana inawaathiri kila kukicha....I see Rwanda,then UG will follow suit..
Ulaya na Marekani huko ndio tusahau...
Tutabaki na Burundi tu,which is another shithole....just wait and see!
Hapa ndipo anaponitatiza huyu jamaa yetu.[emoji16][emoji16]Unanambia nitumie akili wakati wewe hutumii unanakili kweli ? Labda kama hujui nini unachozungumza nikukumbushe: unasema kosa letu sababu hatujatoa majibu ya kisayansi kama hatuna korona tunasema tu TZ hamna Corona ndio nikakwambia niletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa iwe ya Jana au juzi ilete kama ipo lakini kumbuka Kenya imeirihusu China tena ndio nchi ya Kwanza wamejuaje kama hakuna korona china na takwimu hamna ? Ndio maana nikakwambia Kwa kifupi nakuomba niletee takwimu ya china. Uwe na upeo wa kupambanua mambo Kenya inasingizia Corona ila ina chuki na TZ kwasababu ya mafanikio yake kuanzia kwenye Corona mpaka uchumi kwahiyo kenya ina Ile Sera za chuki ,kwanini kama ilivyo marekan
Wakenya wamefurahi mapigo yaliyojibiwa na Tanzania ukifuatilia mitandao yao ya kijamiiSerikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
To any action there is equal and opposite reactionMtumwa wa fikra ni wewe unaelazimika kutetea maamuzi ya kipumbavu yaliyotolewa na washika ofisi wetu hapa eti sababu tu wewe ni Mtanzania!
Siendeshwi na uraia wangu,naendeshwa na logic na what's right!
Kenya kapiga ban TZ sababu ya korona,viongozi wa TZ wameshindwa kutoa majawabu kwa Wakenya hoja yao ya kovid!
Hao ni Wakenya tu,bado wengine watakuja,naona South Africa akifuata....sasa sijui utakuja kusema SA anaionesha TZ wivu gani hasa?
Watch this space!
SA sio mpumbavu,anatumia akili yule sio mihemko.Mtumwa wa fikra ni wewe unaelazimika kutetea maamuzi ya kipumbavu yaliyotolewa na washika ofisi wetu hapa eti sababu tu wewe ni Mtanzania!
Siendeshwi na uraia wangu,naendeshwa na logic na what's right!
Kenya kapiga ban TZ sababu ya korona,viongozi wa TZ wameshindwa kutoa majawabu kwa Wakenya hoja yao ya kovid!
Hao ni Wakenya tu,bado wengine watakuja,naona South Africa akifuata....sasa sijui utakuja kusema SA anaionesha TZ wivu gani hasa?
Watch this space!
Tumia akili kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha!Unanambia nitumie akili wakati wewe hutumii unanakili kweli ? Labda kama hujui nini unachozungumza nikukumbushe: unasema kosa letu sababu hatujatoa majibu ya kisayansi kama hatuna korona tunasema tu TZ hamna Corona ndio nikakwambia niletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa iwe ya Jana au juzi ilete kama ipo lakini kumbuka Kenya imeirihusu China tena ndio nchi ya Kwanza wamejuaje kama hakuna korona china na takwimu hamna ? Ndio maana nikakwambia Kwa kifupi nakuomba niletee takwimu ya china. Uwe na upeo wa kupambanua mambo Kenya inasingizia Corona ila ina chuki na TZ kwasababu ya mafanikio yake kuanzia kwenye Corona mpaka uchumi kwahiyo kenya ina Ile Sera za chuki ,kwanini kama ilivyo marekan
Kila nchi tutashughulika nayo kulingana na umuhimu wale na vile itakavyotuchukulia. Tumeanza na Kanya, tunasubiri inayofuata.Covid-19 ni hasara zaidi kwa Wakenya kuliko hela za mauzo wanazopata TZ....
Wakaona wapige chini....
Naona mmefocus na amuzi la Kenya ambalo infact linatutoa kamasi,of which ni tip of the iceberg
Nchi zingine ziki-follow suit,then we are dead!
Maana hatuna majibu ya covid-19 kwa evidences,hatuna...
Naona SA ikipiga ban videnge vya TZ,na wengine wanafuata..
Goodluck dealing with them....
Lazima tutumie akili na kua sincere na kufanya mambo kwa uwazi maana mataifa mengine yapo at stake here...
Msituletee vituko vya Chattle hapa duniani....domino effect inakuja!
BrotherSA sio mpumbavu,anatumia akili yule sio mihemko.
Kwake kwa moto halafu akurupuke kuua diplomasia na nchi zenye takwimu tofautI,kisa kumfurahisha kenya au nini!!!
Na juzi wametoka kumpokea Rais wao hewa bila ya kuvaa barakoa harafu wanataka takwimu ili wajue kama korona ipo au hamna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yani nimejua wapinzani hawana akili Kwa kiwango gani najuta kuharibu kura yangu 2015[emoji24][emoji24][emoji24]Haitakaa itokee,halafu hizi mambo za kutabiri mabaya ndipo tunaposhindwa kuwaelewa wakereketwa wa awamu hii.
Kumbuka mlitabiri vifo vingi sana vya corona,lakini bado tunawaona humi jf,hata hamjalazwa.