Serikali ya Trump kuwalipa wakazi wa Greenland $100,000 ili kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kwa mujibu wa chombo cha habari cha kimataifa Reuters, Serikali ya Rais Donald Trump inadaiwa kufikiria kutoa malipo ya maelfu ya dola kwa kila mkazi wa Greenland kama sehemu ya mpango wa kuishawishi eneo hilo kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani. Maafisa wa Marekani wameripotiwa kujadili kiasi kati ya dola 10,000 hadi 100,000 kwa kila mtu, hatua ambayo kwa idadi ya wakazi takribani elfu 57,000 ingeigharimu Marekani kati ya zaidi ya dola nusu bilioni hadi karibu dola bilioni sita.

Ingawa wazo la kutoa malipo ya mkupuo si jipya, mazungumzo hayo yamechukua uzito zaidi siku za karibuni huku kiasi kinachopendekezwa kikiongezwa. Ikulu ya White House imesema mpango huo unaonekana kuwa na manufaa kwa usalama wa taifa la Marekani, ikisisitiza kuwa unalenga kuzuia ushawishi wa Urusi na China katika eneo la Aktiki.

Trump amekuwa akisisitiza kwa muda mrefu kuwa Marekani inapaswa kuimiliki Greenland kutokana na rasilimali zake muhimu na nafasi yake ya kimkakati. Ameeleza kuwa Denmark haina uwezo wa kutoa ulinzi wa kutosha dhidi ya vitisho vya kiusalama, akidai kuwa Greenland imezungukwa na meli za Urusi na China.

Hata hivyo, viongozi wa Greenland na Denmark wamekataa vikali wazo hilo, wakisema Greenland haiuzwi. Viongozi wa Ulaya pia wamekosoa pendekezo hilo, wakisema linadhoofisha uhusiano wa kuaminiana kati ya washirika wa NATO, ambapo nchi wanachama zinapaswa kusaidiana kijeshi endapo moja itashambuliwa.

Waziri Mkuu wa Greenland, Jens-Frederik Nielsen, amesema wazi kuwa nchi yake itaendelea kubaki sehemu ya Denmark. Amesisitiza kuwa mustakabali wa Greenland hauwezi kuamuliwa kwa shinikizo, na akautaka Marekani kuheshimu sheria za kimataifa na kutumia njia sahihi za kidiplomasia katika kushughulikia suala hilo.

1767941565919.png

=========

The Trump administration is considering paying each Greenland resident thousands of dollars as part of a bid to encourage the territory to secede from Denmark and join the United States, according to Reuters.

U.S. officials, including White House aides, have discussed payment figures ranging from $10,000 to $100,000, the outlet reported, citing sources.

For an island with a population of roughly 57,000, the total cost could range from more than half a billion dollars to nearly $6 billion.

While discussions of a lump-sum payment are not new, Reuters reported that officials have become more serious in recent days and are considering higher amounts. The White House referred Fox News Digital on Thursday to remarks by Press Secretary Karoline Leavitt, who said during a Wednesday briefing that buying Greenland would benefit U.S. national security.

"The acquisition of Greenland by the United States is not a new idea," Leavitt said.

"The president has been very open and clear with all of you and the world that he views it as in the best interest of the United States to deter Russian and Chinese aggression in the Arctic region," she said. "That's why his team is currently talking about what a potential purchase would look like." Secretary of State Marco Rubio said Wednesday that he plans to meet with his Danish counterpart next week to discuss Greenland.

Trump has long contended that the U.S. should acquire Greenland, arguing that its mineral resources are vital in advancing U.S. military technologies and that the Western Hemisphere should broadly fall under Washington’s geopolitical influence.

On Sunday, Trump told reporters Greenland is surrounded by Russian and Chinese ships and that Denmark, which governs Greenland, lacks the capability to provide the level of defense and oversight that meets U.S. national security standards.

FROM CARACAS TO NUUK: MADURO RAID SPARKS FRESH TRUMP PUSH ON GREENLAND

"It's so strategic," Trump told reporters on Air Force One. "We need Greenland from the standpoint of national security, and Denmark is not going to be able to do it." Authorities in Greenland and Denmark insist that Greenland is not for sale, and European leaders have criticized the proposal, arguing that it undermines trust between the U.S. and Denmark as NATO allies. Under the NATO defense agreement, allies are obliged to support one another militarily if attacked, making the idea of a sale particularly sensitive.

"This is enough," Greenland's Prime Minister Jens-Frederik Nielsen wrote in a Facebook post on Sunday, responding to Trump’s Sunday remarks about acquiring the island. "No more pressure. No more hints. No more fantasies about annexation."

CLICK HERE TO DOWNLOAD THE FOX NEWS APP

On Tuesday, Nielsen added that Greenland will remain part of Denmark despite U.S. efforts.

"Our country isn't something you can deny or take over because you want to," he added. "Once again, I urge the United States to seek respectful dialogue through the correct diplomatic and political channels and utilizing pre-existing forums that are based on agreements already in place with the United States. The dialogue must take place with respect to the fact that Greenland's status is rooted in international law and the principle of territorial integrity."

Source: FOX NEWS
 
Hili jitu hovyo kabisa! Na California naye ijitenge iende Rusia! Crazy! Takataka
 
Huu mtindo utashamiri sana duniani kwa viinchi vidogovidogo kumezwa na nchi kubwa au nchi ndogo kuimeza nchi kubwa. Ukiona unatishiwa amani unaiteka tu nchi fulani ili tu mpinzani wako asiweze kuwa na ushawishi eneo hilo
 
bora tuuze tanzania kila mtu achukue chake na tuwe koloni la usa.ingefaa kweli kuliko kuwa hawa ccm mafisadi
 
Back
Top Bottom