Serikali ya Ujerumani yanusurika kupinduliwa

Stagemanaged ili wapate sababu kuilaumu Russian
Uliwaza mbali Sana

A Russian woman was among more than two dozen suspects detained in Germany on December 7 during nationwide raids on an extremist group linked to the Reichsbuerger movement that allegedly aimed to overthrow the government.
 
[emoji23][emoji16][emoji23]

Yaani mwaka 2022 huko GERMAN wanataka kufanya mapinduzi

T14 Armata naomba uje uchangie hem huu uzi kama mwaka 2022 tena mwishoni taifa kama GER lataka kumbwa na mapinduzi shida iko wapi !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km umesikiliza DW Intelligence ya Ujerumani imesema hicho kikundi cha hao watu walianza hizo harakati tangu mwaka Jana na wamekua wakiwafatilia ndio maana wamedakwa fastaa kabla hata ya kujaribu kufanya jaribio lenyewe
 
Ndiyo wajue hiyo ni German not Russia ..

Kwamba Putin anajiongezea miaka atakavyo eti nayo ni democratic state...🤓🤓🤓
 
Muonekano wa mambo ni binadamu kuchoka kutawaliwa na wenzao.

Tunakaribia kabisa kufikia hatua ambapo nchi zitakuwa bila serikali bali mfumo mmoja tu wa maisha.
 
Km umesikiliza DW Intelligence ya Ujerumani imesema hicho kikundi cha hao watu walianza hizo harakati tangu mwaka Jana na wamekua wakiwafatilia ndio maana wamedakwa fastaa kabla hata ya kujaribu kufanya jaribio lenyewe
Hizo harakati tayar nikujaribu ila ndio hawakufanikiwa

Ila haya mambo mpaka leo kumbe yapo huko GERMAN ndugu T14 Armata naomba ufafanuzi wako kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo harakati tayar nikujaribu ila ndio hawakufanikiwa

Ila haya mambo mpaka leo kumbe yapo huko GERMAN ndugu T14 Armata naomba ufafanuzi wako kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Ujerumani kuna mtu kafa kwenye hilo tukio? Kuna risasi zimerushwa?

Nchi kubwa duniani hazina mambo ya kishamba kama hii nchi ambayo jeshi lake lililipua jengo la bunge na wabunge wakiwa na kikao ndani. Mgogoro wa siku sita watu zaidi ya 60 wakafa
 
Kufa ama kutokufa hakuzuii ukweli wakwamba watu walitaka kupindua nchi

Sasa baada ya hao watu kufa nini kiliendelea kulitokea mapinduzi!!?

Nahuku ambapo watu hawakufa mapinduzi yalitokea ama laaa

Mwisho unaongeleaje hili la kutaka kufanyika mapinduzi hapo GER mimi siongelei kufa naongelea mapinduzi kutaka kufanyika ilikua nikweli ama nipropaganda tuuu nakukumbusha tunaongelea mwaka 2022 sasa sio mwaka 1990

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wapinduane tu mbona hawa wameshiriki kuzipindua serikali za africa wakiona wanapingana na manbo yao safar hii zamu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…