Naomba kuwasilisha Jambo hili. Serikali iliyopo madarakani ambayo inakwenda kumaliza muda wake, imefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za wanafunzi, naomba TAKUKURU wafike na kulifanyia kazi, vijana warejeshe pesa.
Mfano pesa za beji ya kuweka ID ilikuwa inauzwa Tsh. 5000/= bila receipt zile fedha hazijulikani zimenda wapi, pia imefanya mabadiliko ya Katiba ambayo wamepiga pesa ndefu katika mchakato. Hili lifanyiwe kazi.