Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

Waliingia kichwa kichwa kutoa ufadhili kwenye vyuo vyote badala ya vile vya umma, wakomae tu kuwapa hiyo mikopo hadi kwenye vyuo vya huko uchochoroni
 
Ni bora mtu uckopeshwe kabsa kuliko ukopeshwe alafu baadae mtu uondolewe kwenye mkopo
apo wanakua wamekuyumbisha mpaka saiz vyuo ving ikiwemo UDOM kuna watu hawajafanya usajir kwa sababu ya kuondolewa kwenye mkopo na nyumban hali ngum mtu anabak na matumain ya kua jina litakuja soon anaish kwa kukopa wadau tu

Kiukwel board inazngua watu wanataabika hatavraha ya kusoma huion

Pia kwa mujibu wa mkataba ukipewa mkopo wew n had kumalza iweje wakukatshie kati sasa
Kwani kukopeshwa ni lazima?
 
Acha vtisho babuu board ndo inasumbua af hzo changamoto mwanzon hazkuepo kabsa but mwaka jana na mwaka huu ndo zmezd kas
board inabd ichunguzwe kabsa hapo
 
kabla ya masharti na makubaliano nijibu swali langu.Je kuna kipengele cha sheria kinachosema ni kinyume na sheria usipopata mkopo au mkopo kuchelewa kabla ya kuwaza kuandamana.
kwa ufaham wangu tu hamna nchi imeweka kipenger cha watu kuandamana bali maandamano hutokea ni kama njia moja wapo ya umma kuilazmisha board maalum itekeleze wajibu wake ambao unatarajiwa kutekelezwa kikatba

Kama ilivyo hapo board imejiahid kutoa mkopo mwanzo wa masomo ad mwisho iweje unafka mwaka wa tatu au wa pili unakatiwa allocation yako apo board imekiuka mkataba
Pia kwa mwaka wa kwanza wamesha pewa allocation umeanza masomo alafu pesa ya kujkim na yenyew haij na ni matumain makbwa kwa nn istolew kwa wakat na sababu za msing hazpo
 
wao wametoa masaa 72, lakini vikosi vya jamhuri vitakuwa pale ndani ya masaa 62 nafikiri.
pole sana wadogo zangu kwa masaibu yanayowakuta, hii nchi ndivyo ilivyo wanaangalia maendeleo vitu vya kuonekana na kuzungumzika kwenye majukwaa

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Kinachouma ni kuwa wasiokuwa na uhitaji ndo wanatishia watu humu wanasahau kuwa hali tunatofautiana acha maisha yaendelee kila mtu apambane na hali yake sio kutishiana tishiana kama watoto hatulingani familia tulizotoka wengine wameshakata tamaa chuo bila pesa maisha yanaendaje waliokuwa na pesa ndo hawa walifanikiwa kwenda chuo kujifunza uoga na kurudi mtaani bila impact yoyote kwenye jamii
 
Vijana wa siku hizi tushaanza kuwa wapumbavu na waogawaoga, hiki ndo chanzo cha umasikini wetu na ccm kubaki madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujawahi kukutana na wale FFU wakiwa kazini. Mwenzako mpaka leo bega limepinda yaani madaktari wamepambana sana tuliuza mpaka Shamba ili nipone lakini imeshindikana. Mtu akiniambia tuandamane namfananisha na mtoa roho. Nasema tena sitaki ujinga kabisa kaandamane ufe. Maisha ni bora sana kuliko hiko kidigirii chako cha political Science

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kwako akaandamane tutakuja kukuona hospitali ukiwa kwenye pingu na umewekewa drip ila ukifa tutakuaga kwa mbwembwe sana na nyimbo za shujaa ila kumbuka ukifa pengo lako linazibwa na mtu anayeweza kujilipia ada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…