Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kwa kipigo cha Wale mashetanj. View attachment 1294345Nchi ina vijana waoga na wanafiki kama hawa halafu unategemea ccm itoke madarakani
Never never... It will never happen
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi sheria ipo vipi kuhusiana mikopo:!?
Ni jambo la lazima kukopeshwa au ni misaada tu???
Unaomba kupewa pesa bado unakuwa mkali... Imekaaje hii wajuvi wa daruso?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepitia vyuo vyote ukaona wamekaa kimya au unaleta ushabiki hapa?
Umepitia vyuo vyote ukaona wamekaa kimya au unaleta ushabiki hapa?
Umepitia vyuo vyote ukaona wamekaa kimya au unaleta ushabiki hapa?
Siku hizi hamna lolote wanafanya, hopeless kabisaMiaka ya nyuma mkopo ukichelewa macho na masikio UDSM. Kikinuka huko basi wote wanapata mkopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa siku hizi tushaanza kuwa wapumbavu na waogawaoga, hiki ndo chanzo cha umasikini wetu na ccm kubaki madarakaniSiyo kwa kipigo cha Wale mashetanj. View attachment 1294345View attachment 1294347View attachment 1294349View attachment 1294350
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kukopeshwa ni lazima?
Yaani nikukumbuka kile kipigo cha Wale mashetani wanaovaa vikofia vyekundu. Sitaki kabisa hiyo habari yenu mpaka Leo began langu halijakaaga sawa yaani nilitandikwa rugu. Kama nawaona vile wanaudsm na wanavyopenda chips vidole laini kama wote wanawake watakavyozamishwa Kwenye mitaro na kipigo cha mbwa koko. Eti mihimili yote aaaaaahaaaa kichuo eti kila dola umesahau dola lazima iwe na jeshi. Wale jamaa wamefanya sana mazoezi halafu hawajapata hata vurugu moja wala maandamano tokea aingie jpm. Sasa wewe chuma janga ule na nduguzo usisahau kufukuzwa chuo na kwenda jela vyote vitakuhusu. Kama nakuona vile utakapokuwa unaelekea segerea na umevaa date zilizoandikwa maboresho magereza, utakapokutana wafungwa ambao hawajaona wake zao tokea mwaka. 1980 .Kama wewe unafikiri kukopeshwa ni lazima nenda kaandamane.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa ufaham wangu tu hamna nchi imeweka kipenger cha watu kuandamana bali maandamano hutokea ni kama njia moja wapo ya umma kuilazmisha board maalum itekeleze wajibu wake ambao unatarajiwa kutekelezwa kikatbakabla ya masharti na makubaliano nijibu swali langu.Je kuna kipengele cha sheria kinachosema ni kinyume na sheria usipopata mkopo au mkopo kuchelewa kabla ya kuwaza kuandamana.
Wewe hujawahi kukutana na wale FFU wakiwa kazini. Mwenzako mpaka leo bega limepinda yaani madaktari wamepambana sana tuliuza mpaka Shamba ili nipone lakini imeshindikana. Mtu akiniambia tuandamane namfananisha na mtoa roho. Nasema tena sitaki ujinga kabisa kaandamane ufe. Maisha ni bora sana kuliko hiko kidigirii chako cha political ScienceVijana wa siku hizi tushaanza kuwa wapumbavu na waogawaoga, hiki ndo chanzo cha umasikini wetu na ccm kubaki madarakani
Sent using Jamii Forums mobile app