Sema mkuu si unajua kodi ndo kila kitu.. kumbuka wafanyakazi watakiwa kulipwa mishahara vilevile kuna matumizi Kama vile kulipia operation cost kwenye hizo bank kama vile umeme,maji mafuta ya magari kodi za majengo n.kKweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500
Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa
Huu ni ujinga ujinga ujinga
Kama wangekuwa wanataka tozo ya serikali wangeweka flat rate 100 kila transfer inayofanyika
HIVI KWANINI SERIKALI INAPENDA KUNYONYA HELA ZA WALALAHOI BILA YA KUZIFANYIA KAZI?
View attachment 1854388View attachment 1854389
Ni aibu Sana serikali kuwaonea wivu wananchi wake[emoji3525]Serikali ya CCM ilivyo na roho mbaya itaziambia bank zipandishe tozo za makato kwa bank ili zilingane na za simu. Ilimradi wamkomoe Mtanzania.
We subiri Mwigulu ajue huu mchongo
Muda si mrefu hata tozo za Bank zitapandaSerikali ya CCM ilivyo na roho mbaya itaziambia bank zipandishe tozo za makato kwa bank ili zilingane na za simu. Ilimradi wamkomoe Mtanzania.
We subiri Mwigulu ajue huu mchongo
Serikali haina ubunifuHuu Ni uzulumaji,
Huwezi kumkata Mtu 14,400 kwa kutuma millioni 1.
AFU Tena, Mtu uyo uyo ukamkata 20,900 kwa kuitoa iyo iyo millioni 1
Kwamaana,
kutuma na Kutoa million 1,unapaswa kuandaa zaidi ya elfu 35 kwa ajili ya makato kutoka elfu 9 ya awali
Na kichosikitisha zaidi,
Serikali inachukua pesa nyingi Kwenye miamala kuliko makampuni yenyewe yaliyowekeza teknolojia, miundo mbinu na Kulipa kamisheni kwa mawakala.
Inasikitisha Sana,
Muamala wa 100,000 kampuni inachukua 820, afu eti serikali inachukua 2500[emoji116]
Huu Ni wizi wa mchana kweupe, na HAUKUBALIKI[emoji3525]View attachment 1854410