Serikali ya wanyonge inapanga bei elekezi kwa ajili ya bidhaa za viwandani, lakini kwa makusudi imeamua kuwapuuza na kutowajali kabisa wakulima

I say, sikuwahi kufikiria hilo! Mwanadamu ni mnyama kwa kweli!
CCM inaishi kwa kutegemea wingi wa wajinga wana lijuwa hilo 100%
Ndio maana ata mwasisi hakutaka watu wajuwe yanayo endelea Dunia akawa ana angalia Televisheni pekee yake!
 
Kidongo umenikumbusha yule afande wa Arusha


Ningesema kwamba huyu jamaa kama hivi ndivyo anavyoelewa lojiki ya hesabu basi ndio maana aliishia kuwa polisi.

Lakini kwa kuwa anagalau ni polisi mwenye kajicheti ka sheria, ni wazi anadhihirisha ukweli kwamba wanasheria hawajui kabisa hesabu
 
Ila Mungu alisha mpenda zaidi
 
Hahaha! Kwa hiyo ni serikali ya wanyonge kwa kuwa inanyonga watu! Sikuwa nimetambua hilo
"Waswahili husema mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni" yaani akisha nyongwa akafa ndio apewe haki yake na haki ya marehemu ni kuzikwa tu!!
 
"Waswahili husema mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni" yaani akisha nyongwa akafa ndio apewe haki yake na haki ya marehemu ni kuzikwa tu!!
Labda wana maana haki yake ya kuzikwa Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…