kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Wanzanzibari ni watu wa ajabu na wanafiki sana. Yaani ukiwa mtu wa bara huruhusiwi kumiliki Ardhi kwa kisingizio nchi ni ndogo lakini umeme na hata mchanga wa kujenga unatoka bara! Passport ni moja! Watu ni ndugu. Cha ajabu Wanzanzibari hao hao ni warahisi kwenda nje na kugawa Ardhi bure kwa “ wawekezaji”. Wewe mbara ukitaka kwenda kutengeneza studio zanzibar hutapewa lakini Idris Elba atapewa kila kitu!! Hawa ndugu zetu tumewavumilia sana. Wenyewe wana nyumba Mbweni , ukuu wa wilaya, mkoa na mpaka Raisi wao alikuwa mbunge wa huko bara Mkuranga! Lakini wapo tayari kubagua wabara na kujipendekeza kwa watu. Na kuna watu hapa ni watetezi wa huu ujinga
View: https://youtu.be/_T61hDgGAJo?si=nEvUnSo09DWXwe33
uwekezaji gani wa kula ardhi kubwa adimu kwa wanzabari. Nini kitafanyika hapo mungu tu ndio anajua.