Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme.
Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km.

Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari yenye usukani kushoto ili wafaidike na magari ya umeme used kutoka China.
 
Back
Top Bottom