Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku matumizi ya nembo ya upinde wa mvua (Rainbow) mashuleni

Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku matumizi ya nembo ya upinde wa mvua (Rainbow) mashuleni

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Taratibu tutaelewana?

Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.

Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka nje ya nchi

Rainbow-Colours-Names-Explore-List-of-100-Names-in-English-Updated.png

Pia soma: Zanzibar kupiga marufuku matumizi ya alama ya upinde wa mvua mashuleni ni sahihi? Itasaidia tatizo?

Marufuku nyingine Zanzibar soma:

Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika
 
mmmh...kwani rangi hizo za upinde zipo toka kitambo tuu hata katika vitabu vya dini? wapambane na kiini cha tatizo sio kuleta porojo..Kwahiyo kesho hao mashoga wakitumia rangi za bendera ya taifa watapiga marufuku pia?
 
Hilo ni jinamizi lisiloonekana.

Familia ndo viwanda vidogo vya uchakataji. Tulinde familia zetu jama ohoo. Hakuna alie salama, mabazazi hayaguswi kabisa na haya ndo ya hatari kwelikweli. Na mabazazi si ajabu ndo hayohayo yanayojifanya kupiga ban hiyo rangi, yapo humu jf kutwa kutukana na kujifanya yanapinga ushoga.
Kuna bazizi moja kitambo icho lilikua linafata wanaume pm kuwatongoza, ila eti nalo sasa hivi linalaani aisee, dunia hii.

Wamepiga ban hiyo rangi, basi na hawa washebeduaji wa mitandaoni wachukuliwe hatua.
 
Taratibu tutaelewana?

Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.

Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka nje ya nchi View attachment 2601477
kwani rangi za upinde ndiyo ushoga au ushoga matendo?
 
Kwamba hizo rangi watu wasivae au???
 
Taratibu tutaelewana?

Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.

Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka nje ya nchi View attachment 2601477
Na upinde wa mvua nao ukionekana tu shughulikia!!!
 
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Hivi LGBTQ wakianza kujitambulisha kwa alama ya mwezi na nyota, vitapigwa marufuku pia? Wasiwanyime watoto maarifa ya phenomenon ya rainbow just tu kwa kuwa inatumiwa na LGBTQ, ni kuendekeza kutawaliwa nao
 
Namwona mtu anapigania kupata hati ya Ukimbizi Canada.
Kanji Fatmale.
 
Wazungu wakianzisha Jambo lao huwa linaenea Sana...huyo aliyebuni hizi rangi kuwa za mashoga MUNGU amlaani kabisaa Huko aliko.
MUNGU alileta hizi rangi Kwa maana yake lkn mjinga mmoja duniani amegeuza Kwa manufaa yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom