Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Daaah kwahyo na mashuleni wasirudishe rainbow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinga ushoga mnachekesha kweli, yaani mnatumia nguvu nyingi kupigana na upepo!Ukimtetea shoga na we shoga
Mpaka hapo tushawaachia. Upinde una rangi sabaWaafrica bado Sana mmeanza Hadi kupambana na rangi? So mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao je tutahama sayari?
Wazuie na upinde wa mvua usiwepo mawinguni mvua inapokatika ili kulinda maadili.Zimeshaitwa rangi za upinde wa mvua. Wanaozitumia kwa namna iliyo kinyume na maadili ndo washughulikiwe.
Kazi ipooooWaafrica bado Sana mmeanza Hadi kupambana na rangi? So mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao je tutahama sayari?
Sio m1, wapo wa 3, yaan huwa nikiona comments zao nachekaga hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajistukiaaa balaaaa.Hilo ni jinamizi lisiloonekana.
Familia ndo viwanda vidogo vya uchakataji. Tulinde familia zetu jama ohoo. Hakuna alie salama, mabazazi hayaguswi kabisa na haya ndo ya hatari kwelikweli. Na mabazazi si ajabu ndo hayohayo yanayojifanya kupiga ban hiyo rangi, yapo humu jf kutwa kutukana na kujifanya yanapinga ushoga.
Kuna bazizi moja kitambo icho lilikua linafata wanaume pm kuwatongoza, ila eti nalo sasa hivi linalaani aisee, dunia hii.
Wamepiga ban hiyo rangi, basi na hawa washebeduaji wa mitandaoni wachukuliwe hatua.
Ukwelii mchunguu huu,Braza kabla hujaingia vitani jaribu kujua unayepigana nae na silaha zipi tuzitumie.
1. Tatizo tayari lipo. Linaletwa na vitu gani hapo ndipo tunapotakiwa tukae kujiulize.
2. Misinfi bora ya kujenga jamii ni familia. Familia ni baba, mama na watoto. Siku hizi familia nyingi ni mama na mtoto au watoto. Kuna tatizo mahali.
3. Vitu vinavyooneshwa kwenye luninga zetu vina walakini. Je tupo tayari kubadilika? Jamii tumelea madudu kwa miaka mingi. Tunaelekea wapi?
4. Kukataza rangi iliyokuwepo toka kuumbwa kwa ulimwengu tayari kuna changamoto. Tukae chini tutatue tatizo tusitibu matokeo. Hapa tunatibu matokeo kwa kutumia akili za moto wa kifuu.
5. Baadhi ya matendo yetu mabala ndiyo yanaachia mwanya wa hizi laana. Tunaendekeza uzinzi uliopitiliza. Madhara yake ni kuachiliwa kwa roho za kila namna. Yesu alisema hivi “asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe”. Hakusalia hata mmoja. Mwishoni tunajitakia haya. Anga linanuka uovu ila tunaona uovu wa namna hii tu wakati tunayowafanyia mama zao kwenye faragha yanatisha.
Pia wakati mwingine haya ni matokeo ya dhambi za vizazi. Kumbuka alisema hivi nitawapatilizia watoto dhambi za baba zao mpaka kizazi cha nne. Je hawa sio kizazi cha nne?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipooo.Kwani kimsingi upinde wa mvua si una rangi zote,naona kesho watu wa lbgqt wakitangaza bahari kama ndio nembo yao wazenji watahamia jangwani,african mind is full shit.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri. UwiiiihMaajabu duniani hayaishi
Sasa hiyo rainbow inayotokea wakati wa mvua wataifunika pia
Najua watoto wanapenda kuona rangi tofauti tofauti kwenye vitabu na hata wakati wa kuchora kama crayons [emoji998] zote zina rangi zote je nazo watapiga marufuku?
Ushoga upigwe vita tena kwa vitendo ila rangi sio sawa
Wao wasituzidi kwa kuamua hayo
Itafika hata ukiwa na rangi Tatu tu watasema ni upinde
Mwisho na vyama vyetu tutabadili rangi na kuwa rangi moja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.Wapinga ushoga mnachekesha kweli, yaani mnatumia nguvu nyingi kupigana na upepo!
Good..Taratibu tutaelewana?
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka nje ya nchi
View attachment 2602310
View attachment 2602313
Huyo uliemtaja nadhani bila Shaka ni lesbian maana anafanana nao kabisaGood..
Hawa kuwapiga vita ni lazima na kuwashinda ni lazima. Wanakuja kwa mlengo wa haki za binadamu. Haki gani ya binadamu mwanaume kuto_bwa mk_ndu, na mwanamke kumuoa mwanamke mwenzie.
Hawa kina fatma karume wakome kabisa kutetea tena ni kichefuchefu.
Tutahama nao hivohivo mpaka tumalizane nao. Ushoga ni ushenzi.Waafrica bado Sana mmeanza Hadi kupambana na rangi? So mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao je tutahama sayari?