Huko zenji unawasingizia bure tu.wale viongozi wanaozuiwa kuoa waruhusiwe kuoa maana ni watuhumiwa wa huo mchezo
kwani rangi za upinde ndiyo ushoga au ushoga matendo?Taratibu tutaelewana?
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka nje ya nchi View attachment 2601477
Ukimtetea shoga na we shogaWaafrica bado Sana mmeanza Hadi kupambana na rangi? So mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao je tutahama sayari?
Na upinde wa mvua nao ukionekana tu shughulikia!!!Taratibu tutaelewana?
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka nje ya nchi View attachment 2601477
Hivi LGBTQ wakianza kujitambulisha kwa alama ya mwezi na nyota, vitapigwa marufuku pia? Wasiwanyime watoto maarifa ya phenomenon ya rainbow just tu kwa kuwa inatumiwa na LGBTQ, ni kuendekeza kutawaliwa naoHapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.