Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku matumizi ya nembo ya upinde wa mvua (Rainbow) mashuleni

Wasisahau na Akili inaupinde pia
 
Zimeshaitwa rangi za upinde wa mvua. Wanaozitumia kwa namna iliyo kinyume na maadili ndo washughulikiwe.
Wazuie na upinde wa mvua usiwepo mawinguni mvua inapokatika ili kulinda maadili.
 
Reactions: Tsh
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imepiga marufuku matumizi ya rangi za upinde wa mvua (rainbow) mashuleni, huku ikizitaka shule zote kuacha kuagiza vitabu nje ya nchi, mpaka vitakapothibitishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.

Marufuku hiyo imetolewa na Waziri wa Wizara hiyo, Lela Mohamed Mussa, ambapo pia amebainisha kuwa, shule ya msingi ya Seed of Life iliyokuwa ikidaiwa kuhusika na vitendo vinavyokiuka maadili, imechunguzwa na kubainika kuwa haihusiki na vitendo hivyo.

Your browser is not able to display this video.
 
Elimu ya Tanzania ndipo ilipotufikisha hapo.
Ujengaji wa hoja wetu unatia kichefuchefu.
 
Waafrica bado Sana mmeanza Hadi kupambana na rangi? So mashoga wakitangaza rangi zote zilizopo duniani ni zao je tutahama sayari?
Kazi ipoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio m1, wapo wa 3, yaan huwa nikiona comments zao nachekaga hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajistukiaaa balaaaa.
 
Ukwelii mchunguu huu,
Umepiga kwenye mshonooo.
 
Kwani kimsingi upinde wa mvua si una rangi zote,naona kesho watu wa lbgqt wakitangaza bahari kama ndio nembo yao wazenji watahamia jangwani,african mind is full shit.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri. Uwiiiih
 
Good..
Hawa kuwapiga vita ni lazima na kuwashinda ni lazima. Wanakuja kwa mlengo wa haki za binadamu. Haki gani ya binadamu mwanaume kuto_bwa mk_ndu, na mwanamke kumuoa mwanamke mwenzie.
Hawa kina fatma karume wakome kabisa kutetea tena ni kichefuchefu.
 
Huyo uliemtaja nadhani bila Shaka ni lesbian maana anafanana nao kabisa
 
Habari zenu wakuu




Mtanisaidia kwenye hizo rangi hapo kwenye picha ni zenyewe au kuna kitu nafananisha za wazee wa upinde?

Hapo bia zinagawiwa bure nani? Aliyedhamini na kwa nini? Alama za nembo zao zifananie na hayo marangi ya upinde wa mvua?

Nilikuwa mazoezi nikakutana na hivyo vituko- nchi ina mambo yaajabu sana sasa Zanzibar wanewezaje? Sisi tukashindwa kupiga marufuku hayo mambo sasa

 
Nna kavideo kinakataa kupanda cha hapo kwenye hizo harakati zao
 
Tafuta pesa Kwa ajili ya familia yako achana na changamoto za Global utapoteza mda umri nao unasonga...
 
Nani kamchagua mwenzake? Rangi zimewachagua LGBTQ au LGBTQ wamechagua rangi?

LGBTQ wanavaa, wanakula, wanajongea, wanalala, kifupi wanaishi.

Haya tuanze kuyatenga yote wayafanyayo ili tubaki salama.

Zaidi, tuondoe ile PRISM mnayowafundisha watoto kule shuleni.

Tupambane na tabia kupitia maelezi, FAMILIA zikiendelea kuendekeza USASA, USAWA na PESA, basi taasisi ya NDOA ndo inakufa kifo cha mende.

Pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…