daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,479
- 3,405
Kwani hawawezi kutengeneza hizo biological weapons bila kutoa msaadaDola bil.18 haziwezi kutolewa burebure tu na marekani, akiwa na access ya taarifa nyeti za afya, tayari amewakamata! Afya zenu ziko rehani, mtapaswa kutii masharti toka kwake,...
lengo kuu la huu mpango ni marekani kuweza kutengeneza biological weapons kutokana na taarifa zenu alizonazo mkishazinguana!