Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

Unlimited, speed ni zaidi ya 4G, unaweza connect more than 120 devices na speed ikawa stable.
Ukiwa na wenzako kama 4 au jirani mnatumia netflix n.k mnaweza changia kila mmoja 65. Mnaweza share hata mtaa mzima...
Hapo bado TRA hawajaingia
 
Myahudi huyo muasisi wa internet
 
Unlimited, speed ni zaidi ya 4G, unaweza connect more than 120 devices na speed ikawa stable.
Ukiwa na wenzako kama 4 au jirani mnatumia netflix n.k mnaweza changia kila mmoja 65. Mnaweza share hata mtaa mzima...
Yaani Iko poa. Haya ukipakuwa application Yao ukianza ku scan satelites zake zinajaa jaa hata ukiwa ndani..sema kuingiza Kutoka Rwanda ni vigumu sana...labda Zambia au Kenya
 
Hizi zitafika bongo sasa hivi acha wazuie
 
Yaani Iko poa. Haya ukipakuwa application Yao ukianza ku scan satelites zake zinajaa jaa hata ukiwa ndani..sema kuingiza Kutoka Rwanda ni vigumu sana...labda Zambia au Kenya
Mi nimeona wana wanatumia sana, Watu wanatumia hawajali.
Bidhaa ikifika Kenya huwezi shindwa tumia Tz.
 
Nape Rostam Aziz;sahauni kabisa Starlink kupewa vibari nchini mwetu!
Starlink ataharibu masilahi ya wanaojiita wenye chama na nchi,hii ni kwasababu wenye nchi halisi tunelala usingizi mzito!
 
Hii vita Nape hato toboa huwezi shindana na wenye inchi kwenye kitu chao wanachotaka cha zaidi atazidi kudharaulika. Akubali tu maisha hayaendi hivi kwa kukomoana.
 
Nape Rostam Aziz;sahauni kabisa Starlink kupewa vibari nchini mwetu!
Starlink ataharibu masilahi ya wanaojiita wenye chama na nchi,hii ni kwasababu wenye nchi halisi tunelala usingizi mzito!
Sasa vibali kwani ni lazima waweke ofisi hapa, ukipata tu vile vifaa unapata internet bila shida.
 
Anachofanya Nappe ni kujaribu kuzuia mafuriko kwa mikono. Yatamzoa tu. Ni suala la muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…