daztheinvisible
Member
- Jan 20, 2018
- 23
- 25
Ww ushaambiwa ule kwa urefu wa kamba yako ila usile sana😵😵 chengaa tuuu hii nchiKwa namna jambo hili lilivyo kaa inapaswa Rais atoe kauli, si jambo dogo hili!
Wananchi wameumizwa sana na uandaaji wa bei za didhaa mbalimbali nchini.
Hasa mafuta ya kula, sukari, na vifaa vya ujenzi
Wapi unapata nondo 12mm kwa Tsh 18k mkuu?dah ! nimelazika kununua nondo milimita 12 kwa sh. elfu 18 na ciment kwa elfu 21 maana hakuna namna [emoji17]
Wapi unapata nondo 12mm kwa Tsh 18k mkuu?
Kwani waziri wa viwanda an uhusiano gani na mfumuko wa bei, hivi nyie mlisomea wapi uchumi?Naomba nisimwite Mh Waziri,pengine hizi hashima zinawafanya kuwa na viburi kujiona wao ni wao na sisi ni sisi.
Hivi majuzi,alijtokeza na kutaka mamlaka zinazo uska, na upandishwaji wa vifaa vya ujenzi zijitokeze zijibu Kwa Nini vinapanda.
Katika press alionesha na yeye hajui kitu au sababu Kwa Nini vinapanda mpaka leo Bado vinazidi kupanda Sasa anafanya Nini ofisini?
Tunasema wakina mama mnaweza ila wengine ni mizigo jipigeni chini life liendelee.
Waziri mama jiuzuru. Wizara imekushinda tangu umetoa maelekezo Yako uchwara mpaka leo vifaa vinazidi kupanda.
Shwaini tulisomea kwenye kaburi lako, vifaa vya ujenzi vinaendana vip na mfumuko?je yeye hausiki kukontro mfumuko wa bei?wewe naisi ulisomea ukerewe sio bureKwani waziri wa viwanda an uhusiano gani na mfumuko wa bei, hivi nyie mlisomea wapi uchumi?
Nakubaliana wewe nasema hivo tena. Wakina mama wengine ni mizigo Ili ikose mashiko tenaHoja yako imeingiza u-jinsia na hapo ndipo inapokosa mashiko
Ni mwendawazimu pekee ndie atakayeamini serikali haina mkono kwenye hizi bei.
Kauli za wakubwa Zina mambo kweliNao walijaribu kula kwa urefu wa kamba zao.
Uko vizuri,seriki imechangia hilo kwa zaidi ya asilimia nyingiMzee umeandika ukweli mtupu serikali inachukua pesa huko