Naomba nisimwite Mh Waziri,pengine hizi hashima zinawafanya kuwa na viburi kujiona wao ni wao na sisi ni sisi.
Hivi majuzi,alijtokeza na kutaka mamlaka zinazo uska, na upandishwaji wa vifaa vya ujenzi zijitokeze zijibu Kwa Nini vinapanda.
Katika press alionesha na yeye hajui kitu au sababu Kwa Nini vinapanda mpaka leo Bado vinazidi kupanda Sasa anafanya Nini ofisini?
Tunasema wakina mama mnaweza ila wengine ni mizigo jipigeni chini life liendelee.
Waziri mama jiuzuru. Wizara imekushinda tangu umetoa maelekezo Yako uchwara mpaka leo vifaa vinazidi kupanda.