Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa kazi, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama amemtaka Katibu Mkuu wa wizara yake kukagua mkataba ya watumishi wote kwenye miradi ya kimkakati.

Mhagama amesema uhakiki huo una lengo la kuangalia kama mikataba hiyo ya kazi inakidhi vigezo vya kisheria na ina tija.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Soma taratibu uelewa!
Twende ukajibu hoja yangu ya barabara ya Bagamoyo, hapa nilikuwa nakuchokonoa tu. Barabara inajengwa na JICA mipumbavu mnajisifia eti ni nyie mnajenga.

Mmeshindwa kujenga vyoo vya mashule, madarasa, maabara na maktaba na nyumba za walimu, mtawezaje kujenga Bagamoyo road?
 
Twende ukajibu hoja yangu ya barabara ya Bagamoyo, hapa nilikuwa nakuchokonoa tu. Barabara inajengwa na Jica mipumbavu mnajisifia eti ni nyie mnajenga.
Mmeshindwa kujenga vyoo vya mashule, madarasa, maabara na maktaba na nyumba za walimu, mtawezaje kujenga Bagamoyo road?
Mbona Chadema visima vya Sabodo viliwashinda?

Usione vyaelea bwashee CCM inaaminika na wajapani!
 
Huyo Jenista mwenyewe Hana tija serikalini mwalimu wa kiswahili na diploma yake pale korogwe ttc sijui anawahonga Nini Marais wetu mpaka wanamteuwa.
Uongozi si elimu bwashee,elimu ni nyongeza tu.uongozi ni inborn.kama ndivyo basi maprofesa wangekuwa viongozi wazuri.wewe na elimu yako mguse huyo Jenista Kama hatakutoa nje ya mstari.Kwani TL ni nani mbona hata maprofesa wanamgwaya.?
 
Back
Top Bottom