Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

Kuna baadhi ya mirada ya fedha nyingi tu huku watu hata mikataba hawapewi tena ni wataalam, ni vyema wakapitia yote tena ni vyema wakaguzi wakatoka makao makuu.
 
Mbona Chadema visima vya Sabodo viliwashinda?

Usione vyaelea bwashee CCM inaaminika na wajapani!
Hivi wewe unaelewa majukumu ya CCM, Chadema na Serikali? Hivi Serikali ya Japan ikitoa msaada wa barabara inatoa kwa CCM? au inapojenga vile vyoo na madarasa ya msaada ni kwa CCM?
Msaada was Sabodo kwa Chadema na mahusiano ya kushindwa kwa Serikali katika kushughulikia majukumu yake yanalinga nishwaje?
Nilikuwa nakuweka katika kundi la watu waelewa humu JF, lakini nakutoa na kukuweka kundi la vuvuzela
 
Kwa msada wa watu wa Marekani
 
Fangio la chuma linakuja
Jiwe hataki kulipa mafao ya Watakao simamishwa.......
sasa wanatafutiwa sababu wafurushwe bila kiinua mgongo......
Mitano au milele tena.......
Uchumi wa kati......
Nchi hii ni tajiri sana.......
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.......
 

Attachments

  • Screenshot_20201220-205248.jpg
    73 KB · Views: 1
Huo mchezo upo Sana kwenye kampuni za kihindi. Wajamaa wanapeana vyeo fake kila kukicha ili wapate permit, huko hukawii kukuta CEO ni mhasibu wa certificate.
 
Wataongezewa mishahara?
 
Ohoooo! Fagio hilo la chuma baada ya uchumi kuporomoka kwa kasi ya kutisha. Maelfu kufukuzwa kazi kwa mikataba “isiyo na tija” kwa serikali hii haramu.
Kwa hiyo weww ndo unaijua kesho?
 
Ila ukweli usemwe pesa hamna kivyovyote miaka mitano hii itakua migumu zaidi maana mtu anafosi kwa vyovyote amalize miradi yake ili apate kisingizio cha kujiongezea muda.
 
Ndio tumejenga sisi tena kwa fedha zetu za ndani
 
Tangu serikali hii chini ya Magufuli ianze kazi hakuna uhakiki ulioleta tija kwa Mtanzania.
 
Huo mchezo upo Sana kwenye kampuni za kihindi. Wajamaa wanapeana vyeo fake kila kukicha ili wapate permit, huko hukawii kukuta CEO ni mhasibu wa certificate.

Halafu Serikali Inaangalia tuu....
Mwisho watakuambia hatuna Taarifa...
Peleka Taarifa!
Ni hela tuu hizo zinapotea....
Au watu haswa uhamiaji wanahongwa?
Wahindi hawa halafu wanapeleka fedha kwao!
Sisi tunabaki na Majungu yaani fedha kidogo walizotupa ili tuwafiche?hahahaa
Salute Mabosi wa Kihindi popote Mlipooo nimewakubali....
Miaka 10plus Bado ni wageni “expert”
Simu,Cement,Bia,Soda,Nishati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…