Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Jambo moja linatudiwarudiwa mara dufu ilimradi tu Magufuli asifiwe.
Kikwete aliyekuwa akiajiri madaktari na walimu mpaka sekta binafsi zinakosa madaktari alikuwa hapigi mbiu hivi.
Sekta binafsi walimu na wataalamu wa afya walikuwa wakilipwa vizuri ili wabembelezwe wasikimbilie serikalini but now daktari akienda hospital ya binafsi anapangiwa mshahara na kuambiwa akitaka apige kazi akitaka aache
TrueJambo moja linatudiwarudiwa mara dufu ilimradi tu Magufuli asifiwe.
Kikwete aliyekuwa akiajiri madaktari na walimu mpaka sekta binafsi zinakosa madaktari alikuwa hapigi mbiu hivi.
Sekta binafsi walimu na wataalamu wa afya walikuwa wakilipwa vizuri ili wabembelezwe wasikimbilie serikalini but now daktari akienda hospital ya binafsi anapangiwa mshahara na kuambiwa akitaka apige kazi akitaka aache
Kikwete anawachora tu huko alipo maana vitu kama hivi kwake haikuwa habari kabisa, ila saivi wakiajiri hata watu 10 tu utasikia kila mwanasiasa wa ccm anatangaza hayo magazeti yao ndio usiseme yaani.Jambo moja linatudiwarudiwa mara dufu ilimradi tu Magufuli asifiwe.
Kikwete aliyekuwa akiajiri madaktari na walimu mpaka sekta binafsi zinakosa madaktari alikuwa hapigi mbiu hivi.
Sekta binafsi walimu na wataalamu wa afya walikuwa wakilipwa vizuri ili wabembelezwe wasikimbilie serikalini but now daktari akienda hospital ya binafsi anapangiwa mshahara na kuambiwa akitaka apige kazi akitaka aache
Kwa lipi?
Kukosoa ni rahisi sana,Kikwete anawachora tu huko alipo maana vitu kama hivi kwake haikuwa habari kabisa, ila saivi wakiajiri hata watu 10 tu utasikia kila mwanasiasa wa ccm anatangaza hayo magazeti yao ndio usiseme yaani.
Juzi bungeni wamepitisha bajeti ya ajira mpya hayo magazeti ya ccm yalivyo andika utazani hizo ajira tayari zimesha fanyiwa utekelezaji wakati ni yaleyale tu tangu enzi hizo za Angela akiwa Waziri wa hiyo wizara ya utumishi.
Hakuna mtu anae kosoa ila tunaongea ukweli ulivyo kwani ni mara ngapi bungeni bajeti za ajira mpya zimepitishwa kwa mbwembwe ila hakuna utekelezaji wowote? Hata hizo zilizo pitishwa juzi bungeni na Wizara ya mambo ya ndani ngoja uone utekelezaji wake hawaajiri hata mtu mmoja pale maana ni kawaida yaoKukosoa ni rahisi sana,
... na kwenda kuhudumu katika Hospitali za wilaya 98, vituo vya afya 433 na zahanati 368.
Kuajiriwa kwa madaktari hao 610 ...
Vijana wanatusumbua huku mtaani wakiulizia hizo ajira. Zinavyonadiwa utadhani tayari zishamwagwa tayari.Kikwete anawachora tu huko alipo maana vitu kama hivi kwake haikuwa habari kabisa, ila saivi wakiajiri hata watu 10 tu utasikia kila mwanasiasa wa ccm anatangaza hayo magazeti yao ndio usiseme yaani.
Juzi bungeni wamepitisha bajeti ya ajira mpya hayo magazeti ya ccm yalivyo andika utazani hizo ajira tayari zimesha fanyiwa utekelezaji wakati ni yaleyale tu tangu enzi hizo za Angela akiwa Waziri wa hiyo wizara ya utumishi.
Huyo anae subiri ajira za uhamiaji nampa pole sana maana kati ya ajira ambazo hazita tekelezwa hata kwa asilimia moja ni hizo za wizara ya mambo ya ndani.Vijana wanatusumbua huku mtaani wakiulizia hizo ajira. Zinavyonadiwa utadhani tayari zishamwagwa tayari.
Kuna mmoja hataki kuomba ajira za Mahakama anasubiri za uhamiaji zilizotangazwa magazetini.
Kweli watanzania hawataki kujifinza na hawana kumbukukumbu jinsi walivyofanyiwa miaka hii 5