Serikali yaandaa Mkutano wa Siku 3 kwa Wadau kutoa Maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2024

Serikali yaandaa Mkutano wa Siku 3 kwa Wadau kutoa Maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2024

Kwenda kwenye hivyo vikao ni matumizi mabaya ya raslimali muda. Wanajifanya wanaita watu wajadili Ili kuhadaa umma na Dunia kuwa wanashirikisha wananchi, lakini kiukweli hawachukui hoja yoyote ya mwananchi iliyo kinyume na majibu Yao.
 
Tuanze kukiwasha na sisi... ila wabongo ni mwendo wa kugugumia kimya kimya mambo yanaenda, utafikiri tumerogwa... bila kusahau nyie chawa🙁🙄 ambao kila kitu mnasapoti hata kama unajua fika ni makamasi
Mwenge!
 
Back
Top Bottom