Naunga mkono muswada huo, naona itakua tu mtu akifa viungo vake muhimu vinavoweza kuchukuliwa na nimuhimu kwa watu walio hai kupandikiziwa, vivunwe tu!Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo.
Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji kuhusu mkakati wa Serikali kuanzisha utaratibu maalum wa kuvuna viungo vya binadamu kama Figo na Moyo kwa ajili ya wenye uhitaji.
Naibu Waziri ameeleza, "Kwa kuwa huduma zimeanza kutolewa, kwa sasa Nchi inatumia miongozo ya kimataifa kusimamia uvunaji na upandikizaji wa viungo".
Si sawa.Itachochea mauaji ya watu wasio na hatia ili tu wapate viungo.Naunga mkono muswada huo, naona itakua tu mtu akifa viungo vake muhimu vinavoweza kuchukuliwa na nimuhimu kwa watu walio hai kupandikiziwa, vivunwe tu!
Huo ni utaratibu wa lazima na unafanywa na wizara ya afya kuwa maiti ni lazima inyofolewe viungo bila ridhaa yake au jamaa zake, na hivi viungo vinaenda kuhifadhiwa kwenye benki ya viungoSi sawa.Itachochea mauaji ya watu wasio na hatia ili tu wapate viungo.
Hii hatariHuo ni utaratibu wa lazima na unafanywa na wizara ya afya kuwa maiti ni lazima inyofolewe viungo bila ridhaa yake au jamaa zake, na hivi viungo vinaenda kuhifadhiwa kwenye benki ya viungo
Vitakuwa haviuzwi.... MkuuSerikale Wakiruhusu kuuza figo mnistue.
~600millions ni mtaji tosha
Kwani anaweza kufa mtu alafu viungo vyake vikawa vinafanya kazi?maana nlizani mtu akifa na cells zake na organ zake huwa zimefeliHuo ni utaratibu wa lazima na unafanywa na wizara ya afya kuwa maiti ni lazima inyofolewe viungo bila ridhaa yake au jamaa zake, na hivi viungo vinaenda kuhifadhiwa kwenye benki ya viungo
Viungo vya kuokoa uhai wa mtu.Hivi Mambupu hayaitajikigi?
Heshima inahitajika kwa Mungu, malaika na binadamu, na huruma inahitajika kwa wanyama na binadamu. Sasa MAITI inavo chomwa na kuzikwa ardhini na kubeza kaburini hapo inahishimiwa? Mimi ninavoona mtu Akira viungovake vinavoonekana vitasaidia waliohai kuliko kuzikwa na kuozea kaburini, inyofolewe kwa manufaa ya walio hai.Huko ni kuikosea heshima maiti
Hajuwi maana ya neno ‘Donor’, kwamba ni bure, maana mtu ameshafiriki, hivyo halipwiVitakuwa haviuzwi.... Mkuu