Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

Kwani anaweza kufa mtu alafu viungo vyake vikawa vinafanya kazi?maana nlizani mtu akifa na cells zake na organ zake huwa zimefeli
Ukiviwahi zile dakika chache za mwanzo na ukavihifadhi kwenye baridi, vinakuwa na uhai bado
 
Halafu wafanye bure maana wakiweka hela tu basi polisi wajiandae kupokea kesi lukuki mixer upelelezi humohumo Kuna mirushwa visa na mikasa vitakuwa vingi.
Ni bure, ndio maana ya neno ‘donor’, yaani mtu anaejitolea
 
Hii Bill itakapo jadiliwa na kupitishwa kwa kura na Bunge la JMT, na kisha rais kuridhia na kuwa sheria, tutegemee ulanguzi,ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na mauaji. Pengine serikali pamoja na bunge watatakiwa kuweka vipengele maaalum kisheria baina ya donor na recipient na kuzuia watu wa kati pamoja na kuzilimit private entities kufanya hizo biashara. Naona nchi jirani watu wanavyotajirika kwa biashara hii ya kikatili inayojumuisha wakati mwingine mauaji ya watu wasio na hatia na wengine kutajirika (nchi kama Phillipines, India pia ni mifano hai) . Inaumiza sana ukiona jinsi watu wanavyoshawishiwa na kisha wanavyotumiwa na kudhulumiwa na madalali wa hizo biashara.

Kwangu miye, naweza kusema, its a very lucrative business for some crooked and corrupted perverts whose their moral etiquette will be extremelly questionable. Watu watawauza na kuua ndugu zao na wengine watawatumia wahamiaji haramu kwa kuwaua na kupata viungo kimsingi ina faida na hasara zake kibinadamu. Tusubiri tuone Time will Tell.
 
Heshima inahitajika kwa Mungu, malaika na binadamu, na huruma inahitajika kwa wanyama na binadamu. Sasa MAITI inavo chomwa na kuzikwa ardhini na kubeza kaburini hapo inahishimiwa? Mimi ninavoona mtu Akira viungovake vinavoonekana vitasaidia waliohai kuliko kuzikwa na kuozea kaburini, inyofolewe kwa manufaa ya walio hai.
wew unapayuka tu. Huo ni upumbavu na ni udhalilishaji wa maiti
 
Kwani anaweza kufa mtu alafu viungo vyake vikawa vinafanya kazi?maana nlizani mtu akifa na cells zake na organ zake huwa zimefeli
Vipo baadhi yaviungo vinavoweza kufanya kazi va maiti ya kawaida ingawa zaidi ni maiti ya mtu aliekufa gafla na kwa ajali
 
Ukiviwahi zile dakika chache za mwanzo na ukavihifadhi kwenye baridi, vinakuwa na uhai bado
Hapo ndipo tunapo daught kwamba wengine watasindikizwa kabla ya kufa kwa kuzaniwa wamekufa na kwa kuona kuwa wanaviwahi kabla havijajafa ivo viungo kumbe ndo wanaua kwa kukonyoa izo figo na kongosho,,,aya lakin tunaomba kuwe na mpango mzue wa kuzuia mianya hiyo yote
 
WAENDE MBALI ZAIDI KUWEPO NA UHURU WA MTU KUUZA KIUNGO CHAKE ITAPENDEZA SANA....!
KWANI BINAFSI NAAMINI MTU AUGUAYE NA BAADAE KUFARIKI HUWA VIUNGO VYAKE HAVIKO FITS MAANA MTU AUGUAYE HUANZA KUFA POLEPOLE KABLA YA UMAUTI KUFIKA,HIVYO VIUNGO HIVYO HAVIWEZI KUWA FITS KAMA VYA MTU AMBAYE YUPO DYNAMIC
 
Back
Top Bottom