FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ukiviwahi zile dakika chache za mwanzo na ukavihifadhi kwenye baridi, vinakuwa na uhai badoKwani anaweza kufa mtu alafu viungo vyake vikawa vinafanya kazi?maana nlizani mtu akifa na cells zake na organ zake huwa zimefeli
Kwani anaweza kufa mtu alafu viungo vyake vikawa vinafanya kazi?maana nlizani mtu akifa na cells zake na organ zake huwa zimefeli
Ni bure, ndio maana ya neno ‘donor’, yaani mtu anaejitoleaHalafu wafanye bure maana wakiweka hela tu basi polisi wajiandae kupokea kesi lukuki mixer upelelezi humohumo Kuna mirushwa visa na mikasa vitakuwa vingi.
wew unapayuka tu. Huo ni upumbavu na ni udhalilishaji wa maitiHeshima inahitajika kwa Mungu, malaika na binadamu, na huruma inahitajika kwa wanyama na binadamu. Sasa MAITI inavo chomwa na kuzikwa ardhini na kubeza kaburini hapo inahishimiwa? Mimi ninavoona mtu Akira viungovake vinavoonekana vitasaidia waliohai kuliko kuzikwa na kuozea kaburini, inyofolewe kwa manufaa ya walio hai.
Vipo baadhi yaviungo vinavoweza kufanya kazi va maiti ya kawaida ingawa zaidi ni maiti ya mtu aliekufa gafla na kwa ajaliKwani anaweza kufa mtu alafu viungo vyake vikawa vinafanya kazi?maana nlizani mtu akifa na cells zake na organ zake huwa zimefeli
Hapo ndipo tunapo daught kwamba wengine watasindikizwa kabla ya kufa kwa kuzaniwa wamekufa na kwa kuona kuwa wanaviwahi kabla havijajafa ivo viungo kumbe ndo wanaua kwa kukonyoa izo figo na kongosho,,,aya lakin tunaomba kuwe na mpango mzue wa kuzuia mianya hiyo yoteUkiviwahi zile dakika chache za mwanzo na ukavihifadhi kwenye baridi, vinakuwa na uhai bado
Vifaa vya gari havina cells wala tishu wala organ kwa hiyo hatuwezi kulinganisha na viungo vya bnadamuKwa hyo gari ikifa na vifa vyake vinakufa?
Vifaa vya gari havina cells wala tishu wala organ kwa hiyo hatuwezi kulinganisha na viungo vya bnadamu