JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Baada ya wanafunzi wa kidato cha nne kushindwa mitihani yao, sasa serikali ya CCM imeanza kuyachakachua matokeo ya mtihani ili kuficha aibu. Je, hii ndiyo njia ya kutatua matatzo ktk elimu? huu ni upuzi mtupu! Serkali iache kumuingilia Dk. Ndalichako katika kazi yake kwani matokeo yaliyotoka ni sahihi.