Serikali yaanza kuchakachua matokeo ya mtihani wa kidato cha 4 kuepuka aibu

Serikali yaanza kuchakachua matokeo ya mtihani wa kidato cha 4 kuepuka aibu

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
Baada ya wanafunzi wa kidato cha nne kushindwa mitihani yao, sasa serikali ya CCM imeanza kuyachakachua matokeo ya mtihani ili kuficha aibu. Je, hii ndiyo njia ya kutatua matatzo ktk elimu? huu ni upuzi mtupu! Serkali iache kumuingilia Dk. Ndalichako katika kazi yake kwani matokeo yaliyotoka ni sahihi.
 
kweli kuna watu wanauelewa mdogo.
HAWACHAKACHUI,kisa we ulifeli form 4 ndo utakiwenzako wapangiwe grade zao kama miaka ya nyuma
 
Baada ya wanafunzi wa
kidato cha nne kushindwa mitihani yao, sasa serikali ya CCM imeanza
kuyachakachua matokeo ya mtihani ili kuficha aibu. Je, hii ndiyo njia ya
kutatua matatzo ktk elimu? huu ni upuzi mtupu! Serkali iache
kumuingilia Dk. Ndalichako katika kazi yake kwani matokeo yaliyotoka ni
sahihi.

sasa mbona umeshndwa kuonesha ni jnc gani serikali inavyoyachakachua hayo matokeo?
Unajua tafsiri ya neno "KUCHAKACHUA"?
 
Habari za uhakika toka vyanzo vya habari ndani ya Wizara vinaonesha kuwa kawambwa amerudi Dar na kukacha vikao vya Bunge vinavyoendelea Dodoma ili ahakikishe matokeo yanaandaliwa kwa namna atakayoelekeza yeye. Ameapa kuwa sasa hivi hawezi kuruhusu Baraza lifanye kazi iyo wenyewe na kwamba kila hatua atakuwa anakagua kinachoendelea na kutoa maelekezo.

chanzo cha habari kinasema kuwa ile standardisation aliyokuwa anaisema Lukuvi itafanywa na Kawambwa na kuwapa Baraza watekeleze, kama akiona namba za wanaofaulu haziendani na idadi anayoitaka basi atakuwa anatoa maelekezo mengine mpaka kieleweke. Watu walio karibu na Kawambwa wanasema anahofu sana akikosa uwaziri hajajiandaa kisaikolojia kufanya kazi tofauti na uwaziri. kwa hiyo ameapa kuwa atafanya kila liwezekanalo ili aonekane ni Waziri bora wa elimu kuliko mawaziri wote waliopita kwenye wizara hiyo tangu tupate uhuru.

Habari ndiyo hiyo aaaaaa. aaaaaaa. ndiyo yenyewe, kama huamini fuatilia wizarani.
 
Inasikitisha inaudhi, inakera inakasirisha, yaani hata matokeo wanataka yatolewe kwa maandamano? WaTZ ni wavumilivu sana lakini mambo yanayofanyika kishikaji ndiyo yanaleta migogoro na vurugu nchini. Hivi kwa nini wasieleze tarehe lini matokeo ya F6 yanatoka au yanachakachuliwa sambamba na hayo ya K4?

Hivi kwa nini elimu yetu iwe kichwa cha mwenda wazimu watoto wanamaliza D7 hawajui kusoma wala kuandika na wanaochora mazombi wanachakachuliwa matokeo ili wafaulu. Kweli kazi ipo
 
Baada ya wanafunzi wa kidato cha nne kushindwa mitihani yao, sasa serikali ya CCM imeanza kuyachakachua matokeo ya mtihani ili kuficha aibu. Je, hii ndiyo njia ya kutatua matatzo ktk elimu? huu ni upuzi mtupu! Serkali iache kumuingilia Dk. Ndalichako katika kazi yake kwani matokeo yaliyotoka ni sahihi.[matokeo yaliyo toka si sahihi kwann watumie madaraja tofauti waachien daraja zao bwana]
 
wanafunzi waliofaulu ni wengi unajua zero zilizoonekana kama wangetumia grde za iaka yote bas ufaulu ungekuwa ni mzur tu sasa zimeonekana nyinhi kushinda za mwaka jana wakat grade ni tofauti wanazingua tu wenyewe wizara imeboronga tu ikubali.....
 
Kitendo hiki ni kibaya sana as huku ni kujidanganya na kudanganya wananchi kuwa elimu yetu bado inafanya vizuri. Standadization ni ujinga umeonyesha ni kiasi gani serikali haijajipanga.
 
Back
Top Bottom