Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Daah nimeikubali hii comment yako mkuu
 
Watu wanajiuliza (hasa walio nje ya Libya) kwa nini Qaddafi walimtenda vile pamoja na yote tunayosikia kuhusu nchi yake ilivyokuwa inafaidisha watu wake? Jibu ni moja tuu, Qaddafi alifikia mahali alijifanya Mungu kwa maisha ya watu wengine. Ukimpinga pale anapokwenda tofauti basi ujue huna maisha tena au utapata mateso makubwa sana.
Neema iliyokuwepo Libya alijifanya ni yake wakati rasilimali zile zipo pale kwa neema ya Mungu tuu, na kiongozi kutimiza wajibu wake sio sifa bali ni jambo la lazima maana wananchi hao wanamlipa na kumtunza kwa kiwango cha juu kuliko raia mwingine yeyote.
Hapa kwetu nani anatunzwa yeye na familia yake kuliko mtu mwingine yeyote katika nchi kama sio rais? Kama anatunzwa hivyo yeye na familia yake ni lazima a delivery kinachokusudiwa au aondoke apewe mwingine kati ya mamilioni waliopo.
Na kukataa asiambiwe nini cha kufanya na akaumiza wanaomwambia basi huko ni kujifanya Mungu.
 
Lolote alilosema ni maoni yake, it is only a coward who arrest somebody for just speaking his believe, let alone stating his mind. Magufuli sio Mkali ila is a Man with no Balls! Full of fear and without confidence just like every other Dictators! I too believe God will let him Go if he will not humble down!
 
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…