Serikali yaanza kusambaza Katiba inayopendekezwa

Serikali yaanza kusambaza Katiba inayopendekezwa

Hiyo mil 45 ni pamoja na wasiojua kusoma wala kuandika.Na mil 2 ndo Watanzania wanaofikrika angarau kuwa na akıli ya kusoma na kuelewa document ya kisherıa.Ndo mana watu wanapenda taasisi za kıtaalam zısaıdıa kuufafanulia umma.

kama ni kweli unayosema bas hii nchi bado illiteracy rate ipo juu sana
 
mi bado haijaniingia akili kwenye hotuba ya mh.p kama kweli wanania ya dhat watanzania wote wailewe? cna hakika

Huku hawakuwa na nia ya watu wasome na kuilewa katiba mpya! Kenya kwa mfano hawakuhangaika kuchapisha vitabu waliweke kwenye karatasi yenye kurasa NNE na kuzichapisha kulingana na kurasa zote za katiba. Ilikuwa kama photocopies nyingi ambazo watu walizisamba za inchi nzima. Kwa wale wasiojua kusoma na kuandika waliwatumia maafisa ugani na maafisa maendeleo ya jamii, waalimu wa sekondari na wale washule za msingi kuwaelimisha wananchi baada ya wao kupewa elimu maalum kuhusu katiba!
 
Halafu jinsi gani Pinda hasivyo na uso wa aibu na bila kujua anavyojichafulia kwenye harakati zake na kuanza kuutafuta urais kimya kimya.... Eti wameshindwa kuchapisha vitabu vya katiba ambapo gharama ya kitabu kimoja ilikuwa elfu3 tu.... Jana katujia na uongo mtakatifu kuwa washazileta mashine za BVR elfu8 ili ziweze kuandikisha watu mapema kabla ya tarehe ya uchaguzi.... Hivi hiyo pesa ya kununulia hizo BVR wameokota chini ya mti au maana ni majuzi tu walitaka kuazimishwa kutoka Kenya na Nigeria....

Ila tuachane na hilo twende kwenye hesabu za kawaida kama mashine 1 ya BVR kwa siku inaweza kuandikisha watu 60 hesabu za Pinda wanadai ni 100 kwa siku... Tufanye sibishani nae nimekubaliana na jibu lake.

Mashine zinazotumiaka saa hivi kwenye hilo zoezi ni chini ya 300... Wanadai wameleta mashine elfu8 wacha mie nifanye jumla zipo machine elfu10 nikijumlisha na zile zote za awali zilizopo... zoezi la kuandikisha wananchi wote ni tar27 mwezi huu baada ya hapo kutakuwa na mapumziko kidogo ya kujiandaa na kupiga kura..

Kwa hiyo tuchukulie hizo mashine elfu9 hazitahitaji kufanyiwa marekebisho yeyote kwa kuwa zimeletwa zikiwa hazina kasoro yeyote na tayari kwa sasa zishasambazwa nchi nzima na zoezi kwa mikoa yote ya Tanzania iliyobakia imeanza rasmi leo uandikishaji wa wapiga kura....

Calculation
Mashine elfu9 X 100People p/day X 25days remaining = 22.5M people watakuwa registered kufikia siku ya mwisho ya uandikishaji...

Mpaka sasa kule Njombe kwa mujibu wa hesabu zao serikali wanadai washaregister watu 1M

Hii inamaanisha kuwa kufikia mwisho wa siku ya kuandikisha watu jumla ya watakaokuwa registered ni 23.5M ambayo ni 52%
 
mi bado haijaniingia akili kwenye hotuba ya mh.p kama kweli wanania ya dhat watanzania wote wailewe? cna hakika

Kumbuka kuna watoto wadogo, kunA wasiojua kusoma, ambao wanasoma kwenye mtandao, ambao hawaoni. Kama wewe hujapata hiyo nakala nenda wizara ya katibautapata au kwenye mtandao.
 
Hao watu 45m toa watoto wasiojua kusoma...toa watu wazima wasiojua kusoma....toa wavivu wa kusoma vitabu wapatao million20....toa sisi wapenda kusoma softcopy...nakala million 2 zinatosha sana... watu tusome tuelewe na tutoe hitimisho
 
wana bodi nimepita mahali na nikathibitishiwa kuwa Serikali itaanza kusambaza Nakala 2,000,000 za Kitabu cha Chenge. Nimejulishwa na mamlaka kuwa kila mkoa utapata nakala 300! Nimerajibu kupiga vijihesabu vyangu hasa kwa mkoa Kilimanjaro ambao unakadiriwa kuwa na watu takribani milioni tatu nikakutana na hiki kioja kuwa uwiano wa kitabu ni 1:10,000

nikajaribu na Jiji la dar es Salaam lenye watu takribani milioni 5 nikakuta uwiano wa 1: 17,000

Muda wa kusoma na kuamua kupiga kura ni siku kama 48 zimebaki. tutaazimana lini mpaka kitufikie wote ?

nawasilisha
Hivi ni nani aliyetuloga kazi kubwa baadhi yetu ni kulalamika tu,katiba inayopendekezwa iko madaoni ila tatizo ni utamaduni wa kuisoma na kwa sababu hiyo ukiambiwa ni mbaya unakubali,tubadilike jama,serikali imejitahidi sana kusambza katiba pendekezwa ili wanachi waisome na waielewe,tuache kulalamika huu ni wakati wa vitendo ili tusonge mbele
 
Hivi ni nani aliyetuloga kazi kubwa baadhi yetu ni kulalamika tu,katiba inayopendekezwa iko madaoni ila tatizo ni utamaduni wa kuisoma na kwa sababu hiyo ukiambiwa ni mbaya unakubali,tubadilike jama,serikali imejitahidi sana kusambza katiba pendekezwa ili wanachi waisome na waielewe,tuache kulalamika huu ni wakati wa vitendo ili tusonge mbele

watanzania wengi sana hawana access ya internet na wenye access hyo unapewa mb 8 hv hzo mb utanunua marangap mpaka umalize kusoma kitabu chenye kurasa karibia mia 5?maisha yenyewe magum hela za vocha tvapata wap?
 
watanzania wengi sana hawana access ya internet na wenye access hyo unapewa mb 8 hv hzo mb utanunua marangap mpaka umalize kusoma kitabu chenye kurasa karibia mia 5?maisha yenyewe magum hela za vocha tvapata wap?

Vumilia tu ndo maisha hayo, upatapo tu usisahau kuisoma na kuielewa. :alien:
 
Back
Top Bottom