jamiimemba
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 156
- 39
Hiyo mil 45 ni pamoja na wasiojua kusoma wala kuandika.Na mil 2 ndo Watanzania wanaofikrika angarau kuwa na akıli ya kusoma na kuelewa document ya kisherıa.Ndo mana watu wanapenda taasisi za kıtaalam zısaıdıa kuufafanulia umma.
mi bado haijaniingia akili kwenye hotuba ya mh.p kama kweli wanania ya dhat watanzania wote wailewe? cna hakika
mi bado haijaniingia akili kwenye hotuba ya mh.p kama kweli wanania ya dhat watanzania wote wailewe? cna hakika
mi bado haijaniingia akili kwenye hotuba ya mh.p kama kweli wanania ya dhat watanzania wote wailewe? cna hakika
Hivi ni nani aliyetuloga kazi kubwa baadhi yetu ni kulalamika tu,katiba inayopendekezwa iko madaoni ila tatizo ni utamaduni wa kuisoma na kwa sababu hiyo ukiambiwa ni mbaya unakubali,tubadilike jama,serikali imejitahidi sana kusambza katiba pendekezwa ili wanachi waisome na waielewe,tuache kulalamika huu ni wakati wa vitendo ili tusonge mbelewana bodi nimepita mahali na nikathibitishiwa kuwa Serikali itaanza kusambaza Nakala 2,000,000 za Kitabu cha Chenge. Nimejulishwa na mamlaka kuwa kila mkoa utapata nakala 300! Nimerajibu kupiga vijihesabu vyangu hasa kwa mkoa Kilimanjaro ambao unakadiriwa kuwa na watu takribani milioni tatu nikakutana na hiki kioja kuwa uwiano wa kitabu ni 1:10,000
nikajaribu na Jiji la dar es Salaam lenye watu takribani milioni 5 nikakuta uwiano wa 1: 17,000
Muda wa kusoma na kuamua kupiga kura ni siku kama 48 zimebaki. tutaazimana lini mpaka kitufikie wote ?
nawasilisha
Hivi ni nani aliyetuloga kazi kubwa baadhi yetu ni kulalamika tu,katiba inayopendekezwa iko madaoni ila tatizo ni utamaduni wa kuisoma na kwa sababu hiyo ukiambiwa ni mbaya unakubali,tubadilike jama,serikali imejitahidi sana kusambza katiba pendekezwa ili wanachi waisome na waielewe,tuache kulalamika huu ni wakati wa vitendo ili tusonge mbele
watanzania wengi sana hawana access ya internet na wenye access hyo unapewa mb 8 hv hzo mb utanunua marangap mpaka umalize kusoma kitabu chenye kurasa karibia mia 5?maisha yenyewe magum hela za vocha tvapata wap?