Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo


Punda kama huyu ndio atawafaa kwani gharama zake ni za chini vinginevyo hata hayo mazao hayatauzika ulaya
 
Kwanini unashauri hiyo toa maelezo kidogo
 
Kwanini unashauri hiyo toa maelezo kidogo
Hiyo ndiyo mashine ya ukweli kwenye ndege za mzigo zenye injini tatu, pamoja na kutokuwa na jina kubwa kama Boeing, bado viwango vya utengenezaji wake kwa kubeba mizigo havijabadilika na kwa maana hiyo bei ya kununulia na gharama za uendeshaji ziko chini ukilinganisha na hizi zenye majina makubwa.

Pili .. Uthabiti wa MD 11 haujapata kutiliwa shaka, historia yake ikianzia enzi za vita vya pili vya Dunia. ndege hiyo imebakia kuwa punda wa mizigo kwa mashirika kadhaa ya ndege za kigeni kama KLM, Lufthansa lakini zikitumika zaidi kubeba mizigo kwenye jeshi la marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…