Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

UNITED FRONT ikishika Dola tunaifumua Idara ya Uhamiaji na kuisuka Upya.
 
Eyakuze ni mzaliwa wa Kagera sio Kigoma.
 
Sasa kama mtu kwa bahati mbaya mababu na mabibi zake wote hawakuzikwa kwa sababu tofauti. Walikufa maji, waliuliwa wakiwa mawindoni, walichukuliwa na watu wasiojulikana nk. Duh tunakoenda kuna giza totoro.
 
Leo nimejifunza kitu na hasa mabadiliko ya uongozi TEC nimeshangaa kwa padri msomi, kijana na mchapakazi kama fr saba kuhudumu kipindi kimoja tu cha utawala wake??
Kwa hakika awamu hii ni katili na kwanini washikilie passport yake hadi leo hii?
 
tatizo liko wapi si awaoneshe hayo makaburi tuu au hayapo
 
Eyakuze ni mzaliwa wa Kagera sio Kigoma.

Hivi Jiwe ni mzaliwa wa wapi?
Akiambiwa aoneshe makaburi ya Babu na Bibi zake anaweza onesha? Kwa CCM kumpendekeza Jiwe awe Rais imekuwa ni Laana ya karne kwa Tanzania,,,,Yetu macho!
 
Kumbe ulikuwa unafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…