Serikali yaendelea kuwahadaa walimu

lady j

Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
78
Reaction score
27
Ni kama vile Serikali imeamua kupuuzia mustakabali wa Elimu ya Tanzania licha ya kelele zinazopigwa kila siku kufuatia kuyumba kwa elimu ya nchi hii,safari hii serikali imewahadaa walimu kwa kushindwa kutekeleza ahadi yake kuwa ingewalipa walimu waliorekebishiwa madaraja mishahara mipya kuanzia mwezi April mwaka huu kulingana na madaraja waliyopandishwa, inasikitisha kuona nikiwa mmojawapo wa walimu hao mshahara wa mwezi huu umekuja bila ya hayo marekebisho. Huu ni mzaha na kuendeleza kejeli dhidi ya walimu kwa jambo ambalo serikali yenyewe ilihaidi tena kwa njia ya barua.
 
Liwalo na liwe.
Mwl mwenzangu usijali hawakutuelewa last year. Mwaka huu tukaze zaidi one zifutike kabisa ili jamii nayo iingilie kati.
They have to feel the same pinch.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Hv kuna serikali eeehhhhh ...... ahsante kwa kunikumbusha nilishasahu!!!!
 
Nimesikia kuwa serikali imewalipa waalimu pesa wanazodai. Kwani hawajalipwa?
 
powa unaenda skull, saa nne chai, then saa sita msosi kinachofuata nisafari ya ghetto , au sio walimu wenzangu
 
Walimu poleni sana maana inaonekana nafasi yenu haina mchango wowote tanzania.sababu ,mshahara kilio,madaraja kilio,mapnjo kilio, mazingira ya kazi kilio.yote ninyi tu!.dhuu................!!.kwa haya hamna taalumu ila kupigana majungu tu.hata serikali hamna utendaji ila majungu ya kisiasa tu. Je tutafika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…