Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,517
- 1,869
Kufanya deal ili upate faida bila kutoa jasho. (Forgery/ falsification)Naomba mtu anieleze nini maana ya neno kuchakachua...ni ku-dilute au kuchanganya vitu viwili tofauti au hasa nini maana yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya deal ili upate faida bila kutoa jasho. (Forgery/ falsification)Naomba mtu anieleze nini maana ya neno kuchakachua...ni ku-dilute au kuchanganya vitu viwili tofauti au hasa nini maana yake?
Kufanya deal ili upate faida bila kutoa jasho. (Forgery/ falsification)
vinachapichwa na mama mmoja wa kihaya anakaa masaki ni mmoja wa mlo wa E.L
Mhariri ajichunge
... Haya, Mr Hosea, kama una ubavu, ingia kwenye hili na tutarajie watu wanasimama kizimbani kabla ya October 31. Huna ubavu.
hali hii mwisho wake nini?
MediaPix hawa hawakomi????? someni hii
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
It is understood that the photographs totalled 70 in number, bought at a cost of between $3,967 (approx. 4.7m/-) and $9,878 (11.7m/-) per piece.
Says the audit report: "The pictures were all of the same size and quality we found no visible difference between those which were purchased at $3,967 per piece and those purchased at $9,878 per piece."
.........
It is furthermore understood that Mediapix International Limited has already responded to the query by defending its prices as 'fair and appropriate'.[/COLOR]
Wadau,
Leo gazeti la Mwanahalisi limeripoti ufisadi mkubwa wa mabilioni ya mapesa unaofanyika Ikulu ukimhusisha Salva Rweyemamu. Ni kuhusu mapesa ya serikali kutumika katika kampeni za JK katika mradi wa kuchapisha picha, vipeperushi, n.k. zitakazotumika katika kampeni ya mgombea urais wa chama hicho. Ni EPA nyingine tena hiyo......
Mwenye kupata soft copy ya full story ya Mwanahalisi -- ikiambatana na vielelezo vilivyochapishwa -- tunaomba atuwekee hapa