Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TarimeNaomba mji!
Je kuna ukweli?....vinachapishwa wapi? Na kampuni gani mlipaji ni nani?.......ni habari ya kiuchunguzi au kinadharia?.......tjue ukweli kwanza ndiyo tutoe maamuzi......tusiwe jamii ya kuamini kila kiandikwacho kwa kuwa tu kimeandikwa kwenye magazeti....!
Salva akikanusha kwenyemagazeti hayohayo utayaamini au utabaki na msimamo wako huohuo? tusiwe jamii ya kuamini kila kiandikwacho kwa kuwa tu kimeandikwa kwenye magazeti
soma habari yenyewe live