Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kama walivyojifanya wanaongeza mshahara halafu wakaweka TOZO kuitoa mshahara huo benkiMnafurahi kufutwa kwa hizo ada? Badala yake inaletwa Tozo ya aina nyjngine halafu mnaanza kulalamika.
Ilitangazwa elimu bure, gharama za maisha zikapanda hasa upande wa matibabu.
Sasa na hii, sijui nini kitatokea.