Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Status
Not open for further replies.
serekali yetu haina hela..uvumilivu na subira tuwe nayo, hii ndo serekali yetu..ukawa tuwape serekali tuwaone..
 

serikali haina pesa kuweni na subira
 
ccm chama sema wanakivuluga wachache nikikosa ajira nagombea ubunge kalenga kwa tiketi ya ccm wakinitosa naenda ACT
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha Watanzania Tuzungumze Magazeti.. Nikasikia msomaji akisoma title hiyo hapo juu kutoka gazeti la Tanzania Daima la leo alhamisi tarehe 09/04/2015.

Nayaona majanga kwa mwaka huu.
 
Hata mimi nimeshangaa hii serikali itagombana na kila mtu mwaka huu
 
mbona ilikuwa kama swali..
serikali imefuta ajira za ualimu??

acheni kutia watu presha.
 
aliesoma hilo gazeti la tanzania daima tunaomba atuwekee hapa! hichi ni kifo kingine cha serikali!
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha Watanzania Tuzungumze Magazeti.. Nikasikia msomaji akisoma title hiyo hapo juu kutoka gazeti la Tanzania Daima la leo alhamisi tarehe 09/04/2015.

Nayaona majanga kwa mwaka huu.

Acha ujinga bwana lilikuwa ni swali linaulizwa
 
Hiyo ndo serikali ya tanzania bwana ni kweli ajira za walimu hakuna mwaka huu"Pinda kapinda kweli"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…