Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa gazeti la tanzania daima,serikali yasitisha ajira mpya kwa walimu! duh...source gazeti la tanzania daima
 
Kwa mujibu wa gazeti la tanzania daima,serikali yasitisha ajira mpya kwa walimu! duh...source gazeti la tanzania daima

weka attachment ya hilo gazeti kama chanzo cha hiyo habari ili uaminike,....this is the forum of Facts,not forum of Rumours!
 
Acha uongo kijana una warusha roho watu wewe!Serikali haijaxema lolote kuhusu ajira,bali gazeti hilo limeandikwa mada hiyo tajwa kama mfumo wa swali uwe mwelewa kijana
 
jaman hii ilishawekwa waz siku nyngi,

walimu imetosha wanahamia sekta zingine kuajiri,

mtazamo upo kwamba, walimu wataahiriwa kwa nafasi za kujaza sio rasmi.

Wastaafu, wanaofariki dunia, wasioripoti sehemu zao nk hizi ndizo nafasi zitakazikuw zinajazwa, ama na mahitaji mengine ya lazma na dharura.

mytake .

Hii itatumiwa kwa namna ya rushwa zaid
 
Soma ndani yake kahojiwa waziri anasema wenye pexa wamegoma kuajiri cheki uk.5
 
Nunua usome habari nzima,, kahojiwa naibu waziri tamisemi,, anadai wenye pesa wamesema hawaajiri
 
Kwa mujibu wa gazeti la tanzania daima,serikali yasitisha ajira mpya kwa walimu! duh...source gazeti la tanzania daima

Serikali kuu imesitisha kuajiri walimu ila Halmashauri zenye upungufu wa walimu zinaruhusiwa kuajiri kama walimu wataomba kazi na kama halmashauri zitaweza kuwalipa mishahara.
 
jaman hii ilishawekwa waz siku nyngi,

walimu imetosha wanahamia sekta zingine kuajiri,

mtazamo upo kwamba, walimu wataahiriwa kwa nafasi za kujaza sio rasmi.

Wastaafu, wanaofariki dunia, wasioripoti sehemu zao nk hizi ndizo nafasi zitakazikuw zinajazwa, ama na mahitaji mengine ya lazma na dharura.

mytake .

Hii itatumiwa kwa namna ya rushwa zaid

Nafasi za kazi kwa walimu wapya zinaweza kupatikana kwa mfumo huu, Timua kazi walimu wafuatao ili kuajiri wapya:- Wavivu, wasio na haiba ya ualimu, wanaovaa milegezo, walevi kupindukia, wasiofaulisha wanafunzi, wabadhilifu wa mali ya umma, n.k. kwa kuanzisha mfumo wa kufanya kazi kwa mkataba kama private schools asiyewajibika ipasavyo hakuna ku-renew mkataba, full stop. Nafasi zitapatikana na walimu watachapa kazi, nchi itaenda mbele, kuliko mfumo wa sasa wa mtu akiajiriwa tu basi anajisahau na kuzubaa.
 
usiseme wenye pesa sema wanaotumia kodi zetu kwa maslai yao binafsi vijana tujiandikishe kwa wingi daftari la wapiga kur
 
Mimi naona huyu aliyeandika hii habari pengine atasaidia sana maana ukimya umetawala ndani ya serikali yetu sikivu hivyo swali lililoulizwa kwenye gazeti ni msaada kwa wanaosubiri ajira...
 
Ingieni Tamisemi and then nenda kwenye taarifa ya kikao cha wafanyakazi, nenda kwenye paragraph ya chini kabisa ambayo ni ya mwisho. Soma wewe mwalimu utapata kujua nini hatima yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom